Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Muhimu alama tatu kwanza,timu kutocheza vizuri sio muhimu kwa sasa
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba wamepata ushindi wao wa kwanza dhidi ya Vipers katika mashindano ya klabu bingwa Afrika ugenini.

Ushindi huo unawafanya kufikisha alama 3 wakiwa nafasi ya tatu, Simba walihitaji zaidi matokeo haya kuliko kuonyesha kiwango bora ili kuweza kurejesha morali ndani ya timu.

Kuhusu kutocheza vizuri nafikiri mwalimu Robertinho na benchi lake la ufundi wana kazi kubwa ya kufanya kwenye baadhi ya maeneo ikiwemo kiungo,kujilinda pale timu ikipoteza mpira na kutumia nafasi.

Ushindi wa leo unaleta picha kwamba Simba bado wana nafasi ya kwenda hatua inayofuata huku akiomba Horoya apoteze mchezo wake na Raja usiku huu.

Wakati yeye akitegemea kuvuna alama tatu nyingine nyumbani dhidi ya Vipers.

Kongole kwa wachezaji, viongozi na benchi la ufundi kila mtu kacheza kwenye nafasi yake kuhakikisha timu inapata ushindi leo.

[ATTACH=full]1298[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3456, member: 622"] Simba wamepata ushindi wao wa kwanza dhidi ya Vipers katika mashindano ya klabu bingwa Afrika ugenini. Ushindi huo unawafanya kufikisha alama 3 wakiwa nafasi ya tatu, Simba walihitaji zaidi matokeo haya kuliko kuonyesha kiwango bora ili kuweza kurejesha morali ndani ya timu. Kuhusu kutocheza vizuri nafikiri mwalimu Robertinho na benchi lake la ufundi wana kazi kubwa ya kufanya kwenye baadhi ya maeneo ikiwemo kiungo,kujilinda pale timu ikipoteza mpira na kutumia nafasi. Ushindi wa leo unaleta picha kwamba Simba bado wana nafasi ya kwenda hatua inayofuata huku akiomba Horoya apoteze mchezo wake na Raja usiku huu. Wakati yeye akitegemea kuvuna alama tatu nyingine nyumbani dhidi ya Vipers. Kongole kwa wachezaji, viongozi na benchi la ufundi kila mtu kacheza kwenye nafasi yake kuhakikisha timu inapata ushindi leo. [ATTACH type="full"]1298[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Muhimu alama tatu kwanza,timu kutocheza vizuri sio muhimu kwa sasa
Top
Bottom