Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
MZEE MPILI: NIKO TAYARI FIGO YANGU IUZWE PESA APEWE AZIZI KI ABAKI YANGA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Shabiki kindakindaki wa Klabu ya Yanga, Haji Omary maarufu kama Mzee Mpili amesema kuwa yuko radhi kutoa figo yake iuzwe ili achangie pesa kumbakisha klabuni hapo kiungo mshambuliaji wao, Stephanie Aziz Ki.

Aziz Ki ambaye mkataba wake unaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu, anatajwa kuwa mpaka sasa bado hajasaini mkapata mpya na huenda akatimka klabuni hapo mwishoni mwa msimu kwani vilabu kama Mamelodi, Al Ahly, ES Tunis na vingine vingi vimeweka mkwanja mrefu kumgng’oa Jangwani.

“Kuna wakati natamani timu yangu isicheze Klabu Bingwa kwa Masuala kama haya yani Magwiji wa Soka barani Afrika wanapenda sana kutukalia kooni, kiukweli Aziz mpira anaujua ila hio hela anayotaka ni nyingi sana inafika muda natamani kuuza figo ni vile tu wateja hakuna.

“Ushauri wangu kwa Viongozi wa Klabu kama Mchezaji ataendelea kusisitiza kupewa hio hela basi waachane nae, wasifanye maamuzi ya kuiumiza Klabu huenda riziki yetu imeishia hapa,” amesema Mzee Mpili, Mwanachama na Shabiki wa Klabu ya Yanga.

[QUOTE="DeviMitupio, post: 4495, member: 2312"] [HEADING=3][B]Shabiki kindakindaki wa Klabu ya Yanga, Haji Omary maarufu kama Mzee Mpili amesema kuwa yuko radhi kutoa figo yake iuzwe ili achangie pesa kumbakisha klabuni hapo kiungo mshambuliaji wao, Stephanie Aziz Ki.[/B][/HEADING] [HEADING=3][B]Aziz Ki ambaye mkataba wake unaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu, anatajwa kuwa mpaka sasa bado hajasaini mkapata mpya na huenda akatimka klabuni hapo mwishoni mwa msimu kwani vilabu kama Mamelodi, Al Ahly, ES Tunis na vingine vingi vimeweka mkwanja mrefu kumgng’oa Jangwani.[/B][/HEADING] [HEADING=3][B]“Kuna wakati natamani timu yangu isicheze Klabu Bingwa kwa Masuala kama haya yani Magwiji wa Soka barani Afrika wanapenda sana kutukalia kooni, kiukweli Aziz mpira anaujua ila hio hela anayotaka ni nyingi sana inafika muda natamani kuuza figo ni vile tu wateja hakuna.[/B][/HEADING] [HEADING=3][B]“Ushauri wangu kwa Viongozi wa Klabu kama Mchezaji ataendelea kusisitiza kupewa hio hela basi waachane nae, wasifanye maamuzi ya kuiumiza Klabu huenda riziki yetu imeishia hapa,” amesema Mzee Mpili, Mwanachama na Shabiki wa Klabu ya Yanga.[/B][/HEADING] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
MZEE MPILI: NIKO TAYARI FIGO YANGU IUZWE PESA APEWE AZIZI KI ABAKI YANGA
Top
Bottom