Mzize anajua na kwa Bongo hii atafunga sana kama akiacha utoto na makosa madogo madogo

kamakawa

Mgeni
Nov 4, 2022
60
57
5
Mzize anajua sana kwa Bongo hii atafunga sana kama akiacha utoto na makosa madogo madogo

First half Ila leo team inaonyesha gape kubwa sana ya viwango kati ya first 11 ambao ni regular na hawa wanaotokea bench

Huyu Bryson duuuu anafanya makosa mengi sana haonekani imara kwa leo Mauya nae anapoteza sana pasi , KMC wangekuwa bora wangepata matokeo kipindi cha kwanza

Kitu kimoja kinachonifurahisha ni kuona tumeanza na fresh legs kibao ila still tukawa tunaongoza 1st half na hata hawajaingia 1st elevn yetu Nazanii Clemet akipewa game time zaid na kuwa makini na nafasi anazozipata atafunga mengi like leo angekua mkatili alikua ana 3 goals, Kikubwa point 3 tu Mzize atajarbu kuwa mtulivuu atashinda tu papara aache..

Ila niseme huu utoto wanaoleta hawa Watanzania wenzetu sijui kina Ambundo, Brayson Mnzize wasipojirekebisha tutaendelea kubaki na kuwaona wageni ni bora kuliko wao.

Tokea game ya Ihefu Yanga hajafungwa wala kutoa sare Vijana wanapambana sana. Hongera kwao nyingi.

Pointi 8 juu ya Simba kuelekea mwisho mwa msimu

1677079257970.png
 
Last edited:
  • Like
Reactions: Bangala