Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mzize anajua na kwa Bongo hii atafunga sana kama akiacha utoto na makosa madogo madogo
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mzize anajua sana kwa Bongo hii atafunga sana kama akiacha utoto na makosa madogo madogo

First half Ila leo team inaonyesha gape kubwa sana ya viwango kati ya first 11 ambao ni regular na hawa wanaotokea bench

Huyu Bryson duuuu anafanya makosa mengi sana haonekani imara kwa leo Mauya nae anapoteza sana pasi , KMC wangekuwa bora wangepata matokeo kipindi cha kwanza

Kitu kimoja kinachonifurahisha ni kuona tumeanza na fresh legs kibao ila still tukawa tunaongoza 1st half na hata hawajaingia 1st elevn yetu Nazanii Clemet akipewa game time zaid na kuwa makini na nafasi anazozipata atafunga mengi like leo angekua mkatili alikua ana 3 goals, Kikubwa point 3 tu Mzize atajarbu kuwa mtulivuu atashinda tu papara aache..

Ila niseme huu utoto wanaoleta hawa Watanzania wenzetu sijui kina Ambundo, Brayson Mnzize wasipojirekebisha tutaendelea kubaki na kuwaona wageni ni bora kuliko wao.

Tokea game ya Ihefu Yanga hajafungwa wala kutoa sare Vijana wanapambana sana. Hongera kwao nyingi.

Pointi 8 juu ya Simba kuelekea mwisho mwa msimu

[ATTACH=full]1259[/ATTACH]

[QUOTE="kamakawa, post: 3405, member: 465"] Mzize anajua sana kwa Bongo hii atafunga sana kama akiacha utoto na makosa madogo madogo First half Ila leo team inaonyesha gape kubwa sana ya viwango kati ya first 11 ambao ni regular na hawa wanaotokea bench Huyu Bryson duuuu anafanya makosa mengi sana haonekani imara kwa leo Mauya nae anapoteza sana pasi , KMC wangekuwa bora wangepata matokeo kipindi cha kwanza Kitu kimoja kinachonifurahisha ni kuona tumeanza na fresh legs kibao ila still tukawa tunaongoza 1st half na hata hawajaingia 1st elevn yetu Nazanii Clemet akipewa game time zaid na kuwa makini na nafasi anazozipata atafunga mengi like leo angekua mkatili alikua ana 3 goals, Kikubwa point 3 tu Mzize atajarbu kuwa mtulivuu atashinda tu papara aache.. Ila niseme huu utoto wanaoleta hawa Watanzania wenzetu sijui kina Ambundo, Brayson Mnzize wasipojirekebisha tutaendelea kubaki na kuwaona wageni ni bora kuliko wao. Tokea game ya Ihefu Yanga hajafungwa wala kutoa sare Vijana wanapambana sana. Hongera kwao nyingi. Pointi 8 juu ya Simba kuelekea mwisho mwa msimu [ATTACH type="full" alt="1677079257970.png"]1259[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Mzize anajua na kwa Bongo hii atafunga sana kama akiacha utoto na makosa madogo madogo
Top
Bottom