Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
NAMUNGO FC YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA BIASHARA.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

[ATTACH=full]117[/ATTACH]

WENYEJI, Namungo FC wamelazimishwa sare ya 1-1 na Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.

Namungo FC walitangulia kwa bao la mshambuliaji wake tegemeo, Relliant Lusajo dakika ya 10, kabla ya Dennis Nkane kuisawazishia Biashara United dakika 37.

Kwa sare hiyo kwenye mchezo wa 11 kwa wote, Namungo FC wanafikisha pointi 13 katika nafasi ya nane, wakati Biashara wanafikisha pointi tisa katika nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16, ambayo mwisho wa msimu mbili zitashuka na mbili zitakwenda kumenyana na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu.

[QUOTE="Amir, post: 229, member: 20"] [ATTACH type="full"]117[/ATTACH] WENYEJI, Namungo FC wamelazimishwa sare ya 1-1 na Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ilulu mjini Lindi. Namungo FC walitangulia kwa bao la mshambuliaji wake tegemeo, Relliant Lusajo dakika ya 10, kabla ya Dennis Nkane kuisawazishia Biashara United dakika 37. Kwa sare hiyo kwenye mchezo wa 11 kwa wote, Namungo FC wanafikisha pointi 13 katika nafasi ya nane, wakati Biashara wanafikisha pointi tisa katika nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16, ambayo mwisho wa msimu mbili zitashuka na mbili zitakwenda kumenyana na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
NAMUNGO FC YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA BIASHARA.
Top
Bottom