Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Nawakumbusha Tuliwahi Kumsajili Beki Mmoja Akiitwa Mohamed Ouattara Lakini Tukaishia Kumtukana, Tusubiri Uwanjani Ndio Tuwasifie
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ukimuona Mohamed Outara unaweza sema timu imepata beki wa maana sana, Simba iliwahi kumsajili beki huyo kutoka sudan.

Tulimsifia mnooooo, tukasema tumepata beki.

Siku ile alipozungushwa na Fiston Mayele tukapigwa na utopolo ndipo thamani yetu kwake ilipoishia.

Outtara alikuwa na mwili jumba, lakini alikuwa mzito balaa.

Kutokana na hilo simba ikamweka benchi hadi alipoletwa Inonga Bacca kushika nafasi yake.

Leo tumeletewa beki anaitwa Chamou Karaboue kutoka Ivory Coast.

Ni beki mrefu sana, ana nguvu na ni mbabe.

Ila uchezaji wake ni kama yule beki wa Yanga mzanzibar anayeitwa Ninja.Chamou ni zaidi ya Ninja, yeye kumdondosha mtu ndani ya penalt box ni kawaida tu.

Tuombe Mungu

[QUOTE="Hammy36, post: 6495, member: 617"] Ukimuona Mohamed Outara unaweza sema timu imepata beki wa maana sana, Simba iliwahi kumsajili beki huyo kutoka sudan. Tulimsifia mnooooo, tukasema tumepata beki. Siku ile alipozungushwa na Fiston Mayele tukapigwa na utopolo ndipo thamani yetu kwake ilipoishia. Outtara alikuwa na mwili jumba, lakini alikuwa mzito balaa. Kutokana na hilo simba ikamweka benchi hadi alipoletwa Inonga Bacca kushika nafasi yake. Leo tumeletewa beki anaitwa Chamou Karaboue kutoka Ivory Coast. Ni beki mrefu sana, ana nguvu na ni mbabe. Ila uchezaji wake ni kama yule beki wa Yanga mzanzibar anayeitwa Ninja.Chamou ni zaidi ya Ninja, yeye kumdondosha mtu ndani ya penalt box ni kawaida tu. Tuombe Mungu [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Nawakumbusha Tuliwahi Kumsajili Beki Mmoja Akiitwa Mohamed Ouattara Lakini Tukaishia Kumtukana, Tusubiri Uwanjani Ndio Tuwasifie
Top
Bottom