NBC Ligi kuu Leo Jumamosi.

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Saa 10:00 Jioni, AzamFC watakuwa ugenini uwanja wa Manungu watakutana na Mtibwa Sugar.

Saa 1:00 Usiku, Simba SC watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa watakutana na Ihefu SC wanaoburuza mkia.

699583a6-a2fe-4061-bebb-2dfdcd910387.jpg