Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Nchi wanazotoka wachezaji, hulka na tabia zao ( zingatia haya kipindi cha usajili)
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

1. GHANA

Kuna wachezaji wana vipaji vikubwa lakini ni wapenda starehe na wavivu mno. Ukimsajili Mghana tegemea utendaji kazi wa hovyo, kusumbuka makocha na Kambi ya team. Ni wazuri kwenye kuingia mikataba ili wakusumbue uvunje mkataba wapige hela waende zao.

Mfano: Morison, Okrah, Asamoh, Afiz Konkon.

2 CONGO

Hawa wana vipaji na wanakujaga na njaa ila wakipata hela na umaarufu wanamsumbua mno na Team zinashindwana nao. Ukisajili Mkongoman kama ana kipaji akianza umaarufu muuze fasta hawafugiki hawa.

Mfano: Inonga, Mayele, Djuma Shaban, Bangala.

3.Nigeria

Hawa ni matapeli wanaokuja huku ni wale wa Chandimu tu. Wachezaji wenye vipaji kutoka Nigeria Hawezai kuja kucheza Tanzania.

4. SENEGAL

Hawa ni waungwana mno. Wao wanaamini wanapaswa kucheza Europe, wanaokosa nafasi huja huku kujionesha na wakipata nafasi hutumikia vyema. Ukipata Msenegal msajili fasta.

5. IVORY COAST, MALI, CAMEROON, BURKNABE

Hawa ni waungwana, wana vipaji na bidii kwenye kazi yao. Wao tumaini lao ni kucheza France wakikosa fursa hiyo huja huku kupambana hasa na wana malezi Bora mpira, Wanachohitaji ni love ya mashabiki wako hata tayari kucheza Bure.

Mfano: Kipre Junior, Azizi ki, Yao, Kanoute, Onana, Fredi, Pacome n.k

6 Zambia, Kenya, Uganda, Rwanda

Hawa waswahili kama local players tu. Wana vipaji vya kawaida mno japo hutokea wachache na wengi ndoto zao ni kucheza Tanzania.

ONGEZEA NCHI NYINGINE HAPA KWENYE COMMENTS

[QUOTE="Hammy36, post: 5622, member: 617"] 1. GHANA Kuna wachezaji wana vipaji vikubwa lakini ni wapenda starehe na wavivu mno. Ukimsajili Mghana tegemea utendaji kazi wa hovyo, kusumbuka makocha na Kambi ya team. Ni wazuri kwenye kuingia mikataba ili wakusumbue uvunje mkataba wapige hela waende zao. Mfano: Morison, Okrah, Asamoh, Afiz Konkon. 2 CONGO Hawa wana vipaji na wanakujaga na njaa ila wakipata hela na umaarufu wanamsumbua mno na Team zinashindwana nao. Ukisajili Mkongoman kama ana kipaji akianza umaarufu muuze fasta hawafugiki hawa. Mfano: Inonga, Mayele, Djuma Shaban, Bangala. 3.Nigeria Hawa ni matapeli wanaokuja huku ni wale wa Chandimu tu. Wachezaji wenye vipaji kutoka Nigeria Hawezai kuja kucheza Tanzania. 4. SENEGAL Hawa ni waungwana mno. Wao wanaamini wanapaswa kucheza Europe, wanaokosa nafasi huja huku kujionesha na wakipata nafasi hutumikia vyema. Ukipata Msenegal msajili fasta. 5. IVORY COAST, MALI, CAMEROON, BURKNABE Hawa ni waungwana, wana vipaji na bidii kwenye kazi yao. Wao tumaini lao ni kucheza France wakikosa fursa hiyo huja huku kupambana hasa na wana malezi Bora mpira, Wanachohitaji ni love ya mashabiki wako hata tayari kucheza Bure. Mfano: Kipre Junior, Azizi ki, Yao, Kanoute, Onana, Fredi, Pacome n.k 6 Zambia, Kenya, Uganda, Rwanda Hawa waswahili kama local players tu. Wana vipaji vya kawaida mno japo hutokea wachache na wengi ndoto zao ni kucheza Tanzania. [B]ONGEZEA NCHI NYINGINE HAPA KWENYE COMMENTS [/B] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Nchi wanazotoka wachezaji, hulka na tabia zao ( zingatia haya kipindi cha usajili)
Top
Bottom