Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Nchi Ya Qatar Kuamua Hatma Ya Wapinzani Wa SIMBA Kombe La SHIRIKISHO La CAF
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza tarehe ya droo ya robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Afrika kwa timu zilizofuzu hatua hiyo msimu huu ambapo pia limepanga tukio hilo kufanyika Doha, Qatar Februari 20.

Baada ya kumaliza katika nafasi ya kwanza kwenye kundi A, la Kombe la Shirikisho Afrika, Simba inatarajia kukutana na timu mojawapo iliyomaliza katika nafasi ya pili kwenye kundi lake ambapo inaweza kukutana na ama Asec Mimosas (Ivory Coast), Stellenbosch (Afrika kusin) na Al Masry (Misri).

Simba ambao ndiyo wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya Kimataifa walifanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali baada ya kumaliza nafasi ya kwanza katika kundi A ambapo ilikuwa imepangwa na timu za CS Constantine, CS Sfaxien na Bravos do Maquis ya Angola.

Vijana wa Fadlu Davids walikusanya jumla ya pointi 13 baada ya kushinda mechi nne, sare mechi moja na kupoteza mechi moja katika mechi sita walizocheza.

Timu za Kombe la Shirikisho zilizofuzu robo fainali ni Simba (Tanzania), CS Constantine (Algeria), Stellenbosch (Afrika Kusini), RS Berkane (Morocco), ASEC Mimosas (Ivory Coast), USM Alger (Algeria) na Al Masry pamoja na Zamalek zote za Misri.

Timu za Klabu Bingwa zilizofuzu robo fainali ni Al-Hilal (Sudan), Espérance de Tunis (Tunisia) MC Alger (Algeria) FAR Rabat (Morocco) Al Ahly (Misri) Pyramids (Misri) na Mamelodi Sundowns pamoja na Orlando Pirates zote za Afrika Kusini.

[QUOTE="Kijiweni, post: 14759, member: 476"] [HEADING=3][B]Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza tarehe ya droo ya robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Afrika kwa timu zilizofuzu hatua hiyo msimu huu ambapo pia limepanga tukio hilo kufanyika Doha, Qatar Februari 20.[/B][/HEADING] [HEADING=3][B]Baada ya kumaliza katika nafasi ya kwanza kwenye kundi A, la Kombe la Shirikisho Afrika, Simba inatarajia kukutana na timu mojawapo iliyomaliza katika nafasi ya pili kwenye kundi lake ambapo inaweza kukutana na ama Asec Mimosas (Ivory Coast), Stellenbosch (Afrika kusin) na Al Masry (Misri).[/B][/HEADING] [HEADING=3][B]Simba ambao ndiyo wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya Kimataifa walifanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali baada ya kumaliza nafasi ya kwanza katika kundi A ambapo ilikuwa imepangwa na timu za CS Constantine, CS Sfaxien na Bravos do Maquis ya Angola.[/B][/HEADING] [HEADING=3][B]Vijana wa Fadlu Davids walikusanya jumla ya pointi 13 baada ya kushinda mechi nne, sare mechi moja na kupoteza mechi moja katika mechi sita walizocheza.[/B][/HEADING] [HEADING=3][B]Timu za Kombe la Shirikisho zilizofuzu robo fainali ni Simba (Tanzania), CS Constantine (Algeria), Stellenbosch (Afrika Kusini), RS Berkane (Morocco), ASEC Mimosas (Ivory Coast), USM Alger (Algeria) na Al Masry pamoja na Zamalek zote za Misri.[/B][/HEADING] [HEADING=3][B]Timu za Klabu Bingwa zilizofuzu robo fainali ni Al-Hilal (Sudan), Espérance de Tunis (Tunisia) MC Alger (Algeria) FAR Rabat (Morocco) Al Ahly (Misri) Pyramids (Misri) na Mamelodi Sundowns pamoja na Orlando Pirates zote za Afrika Kusini.[/B][/HEADING] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Nchi Ya Qatar Kuamua Hatma Ya Wapinzani Wa SIMBA Kombe La SHIRIKISHO La CAF
Top
Bottom