Ndoto za Antony nyota wa Manchester United

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Antony69B586E3-8A57-4700-8C32-FE4CF8C9A713.jpeg

“Vyombo vya habari kila mara huuliza, 'Ndoto zako ni zipi? Je, ni Ligi ya Mabingwa? Kombe la Dunia? Au Ballon d'Or?' .”

“Hizi sio ndoto, ni malengo tu.. Ndoto yangu pekee ilikuwa ni kuwatoa wazazi wangu kwenye makazi duni.. Hakukuwa na mpango 'B' ilibidi nifanye au nife nikijaribu.”