Neymar Jr Amtolea Mbavuni Richarlson

Just David

Mgeni
Dec 20, 2022
1
2
5
Neymar ameripotiwa kumtumia Richarlison €30,000 (£26,000) na kumwambia aondoe uso wake mgongoni baada ya nyota huyo wa Tottenham kujichora tattoo ya Mbrazil Mwenzake.

Richarlison alikuwa kivutio kikubwa kwa Brazil kwenye Kombe la Dunia na tangu wakati huo ameashiria safari yake ya Qatar kwa kujichora tattoo kubwa mgongoni mwake. Ni yeye mwenyewe, Neymar na Ronaldo Nazario.

Lakini ishara ya tattoo ya Richarlison haionekani kumvutia sana Neymar, ambaye amempa mtani wake pauni 26,000 ili kuondoa tattoo hiyo na mashabiki hawaonekani kupenda tatoo hiyo pia.



images.jpeg