NI LEO..!

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
NI LEO..!

Lionel Messi anataka kutimiza ndoto zake za kubeba World Cup Mwaka huu, Luka Modric Nae anahitaji kuifikia Fainali ya Michuano hii aweke historia adhimu akiwa na taifa lake la Croatia. nani atafanikiwa kutoboa? 84221126-89d9-4138-9196-415cd59ab133.jpeg
 
  • Like
Reactions: JohBwax and jamal