Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
NI SIMBA SC NA AL AHLY YA MISRI LIGI YA CAF OKTOBA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

[ATTACH=full]1419[/ATTACH]

KLABU ya Simba itaanza na mabingwa wa Afrika, Al Ahly ya Misri katika michuano mipya ya Ligi ya Soka Afrika ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), maarufu kama CAF African Football League inayotarajiwa kuanza mwezi ujao. Wekundu hao wa Msimbazi wataanzia nyumbani Oktoba 20 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam katika mchezo rasmi wa ufunguzi inayoanzia hatua ya Robo Fainali kwa njia ya mtoano hadi Fainali.

Mechi ya marudiano itafuatia Jijini Cairo na wakifuzu Nusu Fainali itachezwa Oktoba 29 na Novemba 1, wakati Fainali ni Novemba 5.

Mechi nyingine za Robo Fainali TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo itaanzia nyumbani dhidi ya Esperance ya Tunisia, Enyimba ya Nigeria itaanzia nyumbani dhidi ya Wydad Athletic ya Morocco na Petro Atletico ya Angola itaanzia nyumbani dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.

[QUOTE="Hammy36, post: 3660, member: 617"] [ATTACH type="full"]1419[/ATTACH] KLABU ya Simba itaanza na mabingwa wa Afrika, Al Ahly ya Misri katika michuano mipya ya Ligi ya Soka Afrika ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), maarufu kama CAF African Football League inayotarajiwa kuanza mwezi ujao. Wekundu hao wa Msimbazi wataanzia nyumbani Oktoba 20 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam katika mchezo rasmi wa ufunguzi inayoanzia hatua ya Robo Fainali kwa njia ya mtoano hadi Fainali. Mechi ya marudiano itafuatia Jijini Cairo na wakifuzu Nusu Fainali itachezwa Oktoba 29 na Novemba 1, wakati Fainali ni Novemba 5. Mechi nyingine za Robo Fainali TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo itaanzia nyumbani dhidi ya Esperance ya Tunisia, Enyimba ya Nigeria itaanzia nyumbani dhidi ya Wydad Athletic ya Morocco na Petro Atletico ya Angola itaanzia nyumbani dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
NI SIMBA SC NA AL AHLY YA MISRI LIGI YA CAF OKTOBA
Top
Bottom