NI ZAIDI YA SAJILI ZOTE KUWAHI KUTOKEA

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Hiki kilichotangazwa jana ni zaidi ya usajili.
Kama tu kuna uelewa kuhusu Neno tu TV.
Kile unachokiangalia hakijalishi uhalisia wake au tangazo lake bali ni kile kinachotokea mwisho...hii ndio maana ya TANGAZO. (Advertise)

Siwezi kukupa uhalisia hutahangaisha akili yako kufuatilia.... ni lazima niipe akili yako na muda wako kunisubiri mimi nitoe ili uhabarike.
Suala hapa ni kuwa kwa sasa watu milioni wamesubiri jambo hili kwa masaa yasiyopungua 3.
YANGA wamenufaika na mambo meengi kwa muda mfupi.
App yao imeongeza wapembuzi ndani ya masaa hayo 3. Imefuatiliwa kuliko app yoyote.
Imeingiza kipato kwa asilimia kubwa kwa muda mfupi.
Na wamejua watu wengi kwa muda mfupi kuwa Yanga sasa inachannel yake....what a promo?

MNAPASWA MJUE KUWA KLABU INAAMINI SOKA LA SASA NI BIASHARA NA LAZIMA INUFAIKE..
JIULIZE WATU WANGAPI WAMETAFUTA REMOTE KUITAFUTA CHANNEL USIKU WA JANA BAADA YA TANGAZO?

*NI KLABU YA KWANZA BONGO NA INAWEZA KUWA EAST AFRIKA KUMILIKI HIKI KITU.*

Hivi kuna channel ya Azam? 🤣🤣 au ile ni Azam company?
Waliosoma cuba wamenielewa.

HUO NDIO MWANZO NA KWA SASA YANGA IMEZIACHA MBAAALI SANA KLABU ZA UKANDA HUU.
Sasa wachezaji ni kujituma tu ujiuze....kwa kwenda mbele.
Naamini ikipata wasimamizi bora ni mwaka 1 tu...Dstv wananunua hii kitu waitangaze...kutanogaje kwa mfano?