Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
NI ZAIDI YA SAJILI ZOTE KUWAHI KUTOKEA
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Hiki kilichotangazwa jana ni zaidi ya usajili.

Kama tu kuna uelewa kuhusu Neno tu TV.

Kile unachokiangalia hakijalishi uhalisia wake au tangazo lake bali ni kile kinachotokea mwisho...hii ndio maana ya TANGAZO. (Advertise)

Siwezi kukupa uhalisia hutahangaisha akili yako kufuatilia.... ni lazima niipe akili yako na muda wako kunisubiri mimi nitoe ili uhabarike.

Suala hapa ni kuwa kwa sasa watu milioni wamesubiri jambo hili kwa masaa yasiyopungua 3.

YANGA wamenufaika na mambo meengi kwa muda mfupi.

App yao imeongeza wapembuzi ndani ya masaa hayo 3. Imefuatiliwa kuliko app yoyote.

Imeingiza kipato kwa asilimia kubwa kwa muda mfupi.

Na wamejua watu wengi kwa muda mfupi kuwa Yanga sasa inachannel yake....what a promo?

MNAPASWA MJUE KUWA KLABU INAAMINI SOKA LA SASA NI BIASHARA NA LAZIMA INUFAIKE..

JIULIZE WATU WANGAPI WAMETAFUTA REMOTE KUITAFUTA CHANNEL USIKU WA JANA BAADA YA TANGAZO?

*NI KLABU YA KWANZA BONGO NA INAWEZA KUWA EAST AFRIKA KUMILIKI HIKI KITU.*

Hivi kuna channel ya Azam?  au ile ni Azam company?

Waliosoma cuba wamenielewa.

HUO NDIO MWANZO NA KWA SASA YANGA IMEZIACHA MBAAALI SANA KLABU ZA UKANDA HUU.

Sasa wachezaji ni kujituma tu ujiuze....kwa kwenda mbele.

Naamini ikipata wasimamizi bora ni mwaka 1 tu...Dstv wananunua hii kitu waitangaze...kutanogaje kwa mfano?

[QUOTE="Nabi, post: 2830, member: 473"] Hiki kilichotangazwa jana ni zaidi ya usajili. Kama tu kuna uelewa kuhusu Neno tu TV. Kile unachokiangalia hakijalishi uhalisia wake au tangazo lake bali ni kile kinachotokea mwisho...hii ndio maana ya TANGAZO. (Advertise) Siwezi kukupa uhalisia hutahangaisha akili yako kufuatilia.... ni lazima niipe akili yako na muda wako kunisubiri mimi nitoe ili uhabarike. Suala hapa ni kuwa kwa sasa watu milioni wamesubiri jambo hili kwa masaa yasiyopungua 3. YANGA wamenufaika na mambo meengi kwa muda mfupi. App yao imeongeza wapembuzi ndani ya masaa hayo 3. Imefuatiliwa kuliko app yoyote. Imeingiza kipato kwa asilimia kubwa kwa muda mfupi. Na wamejua watu wengi kwa muda mfupi kuwa Yanga sasa inachannel yake....what a promo? MNAPASWA MJUE KUWA KLABU INAAMINI SOKA LA SASA NI BIASHARA NA LAZIMA INUFAIKE.. JIULIZE WATU WANGAPI WAMETAFUTA REMOTE KUITAFUTA CHANNEL USIKU WA JANA BAADA YA TANGAZO? *NI KLABU YA KWANZA BONGO NA INAWEZA KUWA EAST AFRIKA KUMILIKI HIKI KITU.* Hivi kuna channel ya Azam? 🤣🤣 au ile ni Azam company? Waliosoma cuba wamenielewa. HUO NDIO MWANZO NA KWA SASA YANGA IMEZIACHA MBAAALI SANA KLABU ZA UKANDA HUU. Sasa wachezaji ni kujituma tu ujiuze....kwa kwenda mbele. Naamini ikipata wasimamizi bora ni mwaka 1 tu...Dstv wananunua hii kitu waitangaze...kutanogaje kwa mfano? [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
NI ZAIDI YA SAJILI ZOTE KUWAHI KUTOKEA
Top
Bottom