Nimesikitishwa sana na baadhi ya mashabiki wetu kufuatia kipigo chetu cha jumapili uwanjani

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Nimesikitishwa sana na baadhi ya mashabiki wetu kufuatia kipigo chetu cha jumapili uwanjani 💔

Roy Keane na Garry Neville walikwenda kwenye vyombo vya habari kumkashifu Bruno Fernandes na kuendelea kuukosoa Uongozi wake kwa Manchester united kombe letu la kwanza baada ya miaka 6,
Tulicheza mechi 36 msimu huu na kukosa mechi 2 tu kwa sababu ya kufungiwa Hakuna mtu aliyeenda kwenye vyombo vya habari kumsifia,

Sijawahi kuona wachambuzi hawa wakimkashifu Maguire badala yake watatuambia kuwa anahitaji muda kuzoea tuwaunge mkono wachezaji wetu maana tunashinda mara tatu msimu huu✌