Ninawakilisha Afrika, Sio Ulimwengu wa Kiarabu - Kocha wa Moroko, Walid💪🏿

sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89
5
Kocha wa Morocco, Walid Regragui alipoulizwa iwapo wanachezea ulimwengu wa Kiarabu

"Siko hapa kuwa mwanasiasa. Tunataka kupeperusha bendera ya Afrika juu kama vile Senegal, Ghana, Cameroon. Tuko hapa kuwakilisha Afrika," Walid aliambia vyombo vya habari.