Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ningekuwa Kwenye Benchi La Ufundi La Klabu Ya Simba SC Ningependekeza Kikosi Hiki
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba SC ni timu ambayo imeshajijengea jina kubwa barani Afrika hivyo ukubwa huo unatakiwa kuonekana kwenye kila mashindano inayoshiriki.

Kuna wachezaji ambao hawastahili kuanza kwenye first eleven ya mwalimu, baadhi ya wachezaji hao ni;

Balua,Shomari Kapombe: ( amekuwa uchochoro wa adui kupita),

Ahoua: ( huyu mvp wa Ivory coast nahisi tulipigwa ni mvivu halafu ubunifu ni mdogo sana)

Mutale: ( huyo ni Saidoo aliyechangamka, papara nyingi halafu zero output).

Kwa kuwa matokeo ya uwanja wa mkapa marudiano ni kufa na kupona: kivyovyote vile simba itatakiwa ifunge magoli ili kusonga mbele hivyo nitashauri kuanza na double strikers (10. Ateba, 9. Mukwala)

Ateba atacheza kama 10 ili kuongeza nguvu ya viungo wengi katika mechi hiyo huku nyuma yake watakuwepo viungo wawili (6. Yusuphu Kagoma, 8. Deborah Fernandez)

Formation ya 4:4:1:1

Hapo mwarabu anapigiwa mchaka mchaka mwanzo wa mchezo hadi mwisho wa mchezo.

[ATTACH=full]1558[/ATTACH]

[QUOTE="Hammy36, post: 9826, member: 617"] Simba SC ni timu ambayo imeshajijengea jina kubwa barani Afrika hivyo ukubwa huo unatakiwa kuonekana kwenye kila mashindano inayoshiriki. Kuna wachezaji ambao hawastahili kuanza kwenye first eleven ya mwalimu, baadhi ya wachezaji hao ni; Balua,Shomari Kapombe: ( amekuwa uchochoro wa adui kupita), Ahoua: ( huyu mvp wa Ivory coast nahisi tulipigwa ni mvivu halafu ubunifu ni mdogo sana) Mutale: ( huyo ni Saidoo aliyechangamka, papara nyingi halafu zero output). Kwa kuwa matokeo ya uwanja wa mkapa marudiano ni kufa na kupona: kivyovyote vile simba itatakiwa ifunge magoli ili kusonga mbele hivyo nitashauri kuanza na double strikers (10. Ateba, 9. Mukwala) Ateba atacheza kama 10 ili kuongeza nguvu ya viungo wengi katika mechi hiyo huku nyuma yake watakuwepo viungo wawili (6. Yusuphu Kagoma, 8. Deborah Fernandez) Formation ya 4:4:1:1 Hapo mwarabu anapigiwa mchaka mchaka mwanzo wa mchezo hadi mwisho wa mchezo. [ATTACH type="full"]1558[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Ningekuwa Kwenye Benchi La Ufundi La Klabu Ya Simba SC Ningependekeza Kikosi Hiki
Top
Bottom