Nipe Mtazamo Wako Kuhusu Mechi Ya Leo

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Nipe Mtazamo Wako Kuhusu Mechi Ya Leo.

Eneo la Kiungo Leo Limejaa Watu Casemiro, Sabitzer, Fred, Bruno, McTominay...Kati Ya Hao Binafsi natamani Eneo La Kiungo Tuanze Na Casemiro, Fred na Bruno....Je Ww Unatamani Kocha Aanze Na nani eneo la Kiungo?

Kwenye Kiungo ngetamani aanze Sabitzer, Casemiro na Bruno mbele Rashford, Sancho, Weghost nyuma Martinez, Varane, Shaw na Dalot kipa Degea apo tumeua mtu

1677153258699.png
 

JohBwax

Mgeni
Nov 4, 2022
84
72
5
Hatutakiwi kuwapa nafasi kucontrol game We need to attack mwanzo mwisho
Naona tukimaliza pakti kwa Barca leo Rashfford peke yake
 

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Kiungo me ntk aanze sabitzer casemiro na bruno mbele Rashford, Rancho Weghost nyuma Martinez na Varane ,Shaw na Dalot kipa Degea apo tumeua mtu
 

Happy

Mpiga Chabo
Dec 13, 2022
8
0
0
Binafsi natamani tucheze 4-4-2 Dimba wakae Casemiro ×Bruno× Sabi×Fred mbele Rashford × Weghorst
 

kamakawa

Mgeni
Nov 4, 2022
60
57
5
De Gea, Bissaka,Shaw, Martinez,Varane, Casemiro. Hapo pakiwa hivyo tu nitakuwa na Amani, huko mbele watajua wenyewe