Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
Nitasimama na wachezaji wangu hadi kufa- Kocha Mkuu wa Uhispania, Luis Enrique.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nitasimama na wachezaji wangu hadi kufa- Kocha Mkuu wa Uhispania, Luis Enrique.

Enrique aliwatetea wachezaji wake na mtindo wake wa kucheza soka baada ya kuondolewa kwenye Kombe la Dunia la Qatar kwa mikwaju ya penalti katika hatua ya 16 bora dhidi ya Moroccojana (Jumanne).

Uhispania walidhibiti zaidi ya asilimia 75 ya mpira kwenye mchezo huo, lakini walishindwa kupata shuti lililolenga lango kutoka kwa mchezo wa wazi ndani ya dakika 120, huku juhudi zao pekee kulenga goli zikitoka kwa vipande vilivyowekwa.

“Nimefurahishwa sana na wachezaji nilionao, nitasimama nao kufa na kupona, nimewachagua na nawapongeza kwa namna walivyofanya na kwa Kombe la Dunia,” alisema Enrique.

Kinachotukera ni kuondoka kwenye Kombe la Dunia,” aliongeza kocha huyo ambaye hakuwa na malalamishi kuhusu kushindwa.

"Tulitawala mchezo, lakini tulikosa bao: safu ya kiungo ilidhibiti mpira, unaweza kutukosoa kwa kutotengeneza nafasi, lakini Morocco walilinda vyema," alisisitiza.

[ATTACH=full]769[/ATTACH]

[QUOTE="kamakawa, post: 2038, member: 465"] Nitasimama na wachezaji wangu hadi kufa- Kocha Mkuu wa Uhispania, Luis Enrique. Enrique aliwatetea wachezaji wake na mtindo wake wa kucheza soka baada ya kuondolewa kwenye Kombe la Dunia la Qatar kwa mikwaju ya penalti katika hatua ya 16 bora dhidi ya Moroccojana (Jumanne). Uhispania walidhibiti zaidi ya asilimia 75 ya mpira kwenye mchezo huo, lakini walishindwa kupata shuti lililolenga lango kutoka kwa mchezo wa wazi ndani ya dakika 120, huku juhudi zao pekee kulenga goli zikitoka kwa vipande vilivyowekwa. “Nimefurahishwa sana na wachezaji nilionao, nitasimama nao kufa na kupona, nimewachagua na nawapongeza kwa namna walivyofanya na kwa Kombe la Dunia,” alisema Enrique. Kinachotukera ni kuondoka kwenye Kombe la Dunia,” aliongeza kocha huyo ambaye hakuwa na malalamishi kuhusu kushindwa. "Tulitawala mchezo, lakini tulikosa bao: safu ya kiungo ilidhibiti mpira, unaweza kutukosoa kwa kutotengeneza nafasi, lakini Morocco walilinda vyema," alisisitiza. [ATTACH type="full"]769[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
World Cup
Nitasimama na wachezaji wangu hadi kufa- Kocha Mkuu wa Uhispania, Luis Enrique.
Top
Bottom