Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Njia iliyobaki ya Simba kuchukua ubingwa wa NBC 2024-25 ni hii hapa
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kufungwa na Yanga katika mechi ya jana tena katika mazingira ya kufungwa yalivyokuwa kunahitaji kuwape hasira wachezaji, benchi la ufundi na viongozi. Hilo ndiyo jambo la kwanza ambalo inabidi wahusika waondoke nalo.

Baada ya hapo yanabaki mambo matatu tu:

1. Kwanza kuhakikisha mnacheza kwa hasira na intensity ile ile ya jana kwa kila mchezo, kuhakikisha Simba haipotezi tena point hata moja, iwe isiwe.

2. Kuanza mipango na mikakati ya kumfunga Yanga katika mechi ya marudiano. Huyo ndiyo mshindani namba moja kwa ubingwa, Simba ikigawana point 3-3 na Yanga nafasi ya ubingwa bado ipo.

3. Kufunga magoli mengi inavyowezekana katika kila mechi iliyo mbele. Bingwa anaweza kupatikana kwa tofauti ya idadi ya magoli. Timu iongeze hamu ya magoli kwa dakika zote 90, iache kuridhika inapokuwa inaongoza.

Kuhusu Yanga kudondosha point, hilo wachezaji waliondoe kichwani. Chezeni mechi zenu jambo lililo ndani ya uwezo wenu, yaliyo nje ya uwezo wenu achaneni nayo.

[QUOTE="Hammy36, post: 11509, member: 617"] Kufungwa na Yanga katika mechi ya jana tena katika mazingira ya kufungwa yalivyokuwa kunahitaji kuwape hasira wachezaji, benchi la ufundi na viongozi. Hilo ndiyo jambo la kwanza ambalo inabidi wahusika waondoke nalo. Baada ya hapo yanabaki mambo matatu tu: 1. Kwanza kuhakikisha mnacheza kwa hasira na intensity ile ile ya jana kwa kila mchezo, kuhakikisha Simba haipotezi tena point hata moja, iwe isiwe. 2. Kuanza mipango na mikakati ya kumfunga Yanga katika mechi ya marudiano. Huyo ndiyo mshindani namba moja kwa ubingwa, Simba ikigawana point 3-3 na Yanga nafasi ya ubingwa bado ipo. 3. Kufunga magoli mengi inavyowezekana katika kila mechi iliyo mbele. Bingwa anaweza kupatikana kwa tofauti ya idadi ya magoli. Timu iongeze hamu ya magoli kwa dakika zote 90, iache kuridhika inapokuwa inaongoza. Kuhusu Yanga kudondosha point, hilo wachezaji waliondoe kichwani. Chezeni mechi zenu jambo lililo ndani ya uwezo wenu, yaliyo nje ya uwezo wenu achaneni nayo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Njia iliyobaki ya Simba kuchukua ubingwa wa NBC 2024-25 ni hii hapa
Top
Bottom