Nottingham aliingia kukaba na alijiandaa kufanya mashambulizi ya kushtukiza

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Nottingham aliingia kukaba na alijiandaa kufanya mashambulizi ya kushtukiza

Amefanikiwa na plan yake Manchester city wameutawala mpira huku mpinzani akikaba tu mwanzo Mwisho na kulazimishwa draw ambayo Manchester city hakustahili Ila Nottingham hawakustahili kutoka bila goli kwajinsi walivyo cheza kwakuiheshimu team pinzani.

Man City anazidi kukwama pale pale akimruhusu Arsenal akae juu .
 

Attachments

  • 5CBC1DB3-2F55-462F-B89C-A499D82D5189.jpeg
    5CBC1DB3-2F55-462F-B89C-A499D82D5189.jpeg
    254 KB · Somwa: 0