Nottingham Forest

ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
Kwa Nini Nottingham Forest Hawana wafadhili(sponsor) Kwenye jezi zao.

Kwa mujibu wa sport business, forest wakishikilia mkatab wa udhamini wa pauni 10m Kwa mwaka.

Mwanzo Walipokuwa championship walikuwa wanadhaminiwa na kampuni ya BOXT Lakini walishindwa Kuendelea Kwa kampuni Hiyo Kushindwa Kufika Thamani yao.pia wamekataa ofa kadhaa Ambazo zilishuka chini ya Thamani Yao.

Ingawa si Kawaida,hii si ya Kwanza Kwa timu ya ligi Kuu Kucheza bila mdhamin mbele ya Jezi zao.

Sheffield Wednesday walianz msimu wa 2992/93 bila hata mdhamini huku Wimbledon pia ilimaliza msimu Mzima Bila mfadhili Kwenye jezi Zao.
 

Attachments

  • FB_IMG_1672226603737.jpg
    FB_IMG_1672226603737.jpg
    32.7 KB · Somwa: 0