Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
NUKUU 5 Za Mo DEWJI Kwa Wanasimba , Ipi Umeielewa Zaidi?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Unaweza ukawa ni miongoni mwa wale ambao wamepitwa na kile ambacho amekizungumza Mwekezaji na Rais wa heshima wa Klabu ya Simba Mo DEWJI

Hizi Hapa NUKUU 5 ambazo tumekuwekea Kutoka katika hotuba yake

NUKUU ZA MO DEWJI :

"Sitaacha Simba Leo Wala kesho , Niwaombe wanasimba wenzangu mtulie "

"Nitashirikiana na Viongozi wenzangu kukamilisha mabadiliko ya uongozi wa KLABU yetu ili wanachama wapate umiliki"

"Eneo la Benchi la ufundi halikuwa zuri , imepelekea kuondoa falsafa yetu ya PIRA BIRIANI , Tutalisuka upya Benchi la ufundi "

"Klabu yetu ipo kwenye kufanya Usajili , Pre season , Simba Day , Ngao Ya Jamii , Niwaombe sana Wana Simba wenzangu mtulie mtupe nafasi ya kujenga Simba mpya , yenye matarajio na mabadiliko ili Kila Mwanasimba atembee kifua Mbele, wanasimba tunatakiwa kuwa kitu kimoja "

"Tutafanya uwekezaji wa miundombinu inayofanana na hadhi ya Klabu yetu ya Simba SC kwenye viwanja vyetu vya Bunju"

[QUOTE="Kijiweni, post: 5219, member: 476"] Unaweza ukawa ni miongoni mwa wale ambao wamepitwa na kile ambacho amekizungumza Mwekezaji na Rais wa heshima wa Klabu ya Simba Mo DEWJI Hizi Hapa NUKUU 5 ambazo tumekuwekea Kutoka katika hotuba yake NUKUU ZA MO DEWJI : "Sitaacha Simba Leo Wala kesho , Niwaombe wanasimba wenzangu mtulie " "Nitashirikiana na Viongozi wenzangu kukamilisha mabadiliko ya uongozi wa KLABU yetu ili wanachama wapate umiliki" "Eneo la Benchi la ufundi halikuwa zuri , imepelekea kuondoa falsafa yetu ya PIRA BIRIANI , Tutalisuka upya Benchi la ufundi " "Klabu yetu ipo kwenye kufanya Usajili , Pre season , Simba Day , Ngao Ya Jamii , Niwaombe sana Wana Simba wenzangu mtulie mtupe nafasi ya kujenga Simba mpya , yenye matarajio na mabadiliko ili Kila Mwanasimba atembee kifua Mbele, wanasimba tunatakiwa kuwa kitu kimoja " "Tutafanya uwekezaji wa miundombinu inayofanana na hadhi ya Klabu yetu ya Simba SC kwenye viwanja vyetu vya Bunju" [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
NUKUU 5 Za Mo DEWJI Kwa Wanasimba , Ipi Umeielewa Zaidi?
Top
Bottom