Nuno Mendes nje ya Kombe la Dunia.

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Nuno Mendes, nje ya Kombe la Dunia. Atakosa mechi zilizosalia za Ureno.

Mendes alipata jeraha la paja na hatapona kwa wakati.
Fahamu Nuno Mendes atakuwa nje kwa miezi miwili ijayo baada ya kuumia paja - anaweza kuthibitisha kuwa Kombe lake la Dunia limekamilika

Inaelezwa Nuno atasalia na timu hadi mwisho wa Kombe la Dunia kwani madaktari wa PSG watamtembelea Qatar - lakini yuko nje hadi Januari 2023.
9C6DAEC0-82EA-409D-A4FD-0199A8239BE4.jpeg