Nyie kila mtu anastyle yake ya uchezaj, usilazimishe Antony awe Greenwood?
Kila player anamchango wake uwanjani jmn, na mwalimu anajua amtumie nan kwa wakat gani!
Kuhusu Antony na Greenwood kila mtu atacheza kwa wakat na muda ambao kocha ataona ni sahihi,
Kikubwa mm nachoona tu kuwa itakuwa vzuri mana tunaongeza squad depth lakin pia competition inakuwa nzuri hvo kila mtu atajituma.
Kama ushindani ulivo kule beki 2 na 3 watu wanapambana kwel kwel
na apo nawakumbusha tu bado kuna Alex telles ajalud Summer nayeye ni beki wa kushoto

Greenwood akilejea saaf kwa mwalimu atakuwa na options 2 , hvo itasadia ata kupumzshana sio kila siku Antony atachoka
Anyways welcome home starboy Mason