Nyota wa Real Madrid alishtukia kiwango chake dhidi ya Real Betis

kamakawa

Mgeni
Nov 4, 2022
60
57
5
Nyota wa Real Madrid alishtukia kiwango chake dhidi ya Real Betis

Ukweli wa mambo ni kwamba Benzema hajaangalia ubora wake katika msimu huu wote. Ndio amefunga mabao mara kwa mara na alikuwa na utendaji mzuri kama ule dhidi ya Liverpool. Lakini kwa ujumla, kampeni hii haijawa nzuri kama ile ya awali, ambayo ilimletea Ballon d'Or.

Real Madrid hawana utetezi wowote wa kweli mbele ya Benzema. Alvaro amefurahishwa na uchezaji wake nje ya benchi lakini mwisho wa siku ana umri wa miaka 18 tu na hakuna mahali karibu tayari kuongoza safu ya Los Blancos.

Kwa hivyo ikiwa Real Madrid wanataka kushinda medali msimu huu watahitaji Benzema kurudi kutoa tena haraka iwezekanavyo.

1678095257488.png
 

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
At this point we shouldn't be stress about La Liga before this game and past two or three game you should have known where we are.

Kikubwa we should stay focus and alerted kwenye Champions league huku kwengine kama hivi mnavyofanya kupanda mikakati ya coming season. PAPA PEREZ NEEDS TO SORT THING OUT BTN HIM AND MONEY THIS SUMMER 🤝.
 

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Ni kupanga tu timu

Garcia anarudi ni LB shida iko kwa RB!

Kama ni crosses tu yule Perreira wa Leicester anamwaga maji vizuri sijajua kama kadrop ila anamwaga sana!

Vinicius Tobias apewe tu nafasi najua sio mzuri kukaba ila passing yake na delivery naiona nzuri akipata na uzoefu kidogo atawaka sana!!

Hivi Rudiger si bora acheze tu au mnaonaje??
 

Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138
5
ifike muda muwe wavumilivu s sana labda kama ni mdogo sana!
Camavinga ana 20 ila kazi yake inaonekana, mentality ya mchezaji ye mwenyewe inatakiwa kua juu, pressure iko siku zote za maisha yenu!!
 

Zaka

Mgeni
Dec 13, 2022
43
27
5
Players make systems...sio uforce system on players mfano hatuna Case sa hizi wa kucheza single pivot kwann usijaribu double pivot na ukawa na 4 attackers and check the balance of the team
 

Clara

Mgeni
Dec 13, 2022
20
6
5
Kocha anahitaji madirisha yasiyopungua matatu kutengeneza timu anayoitaka na hata hvo amejitahd sana kucope na wachezaji waliopo mpk kufikia hatua hii kumbuka nusu ya kikosi kizima wachezaji amewakuta na huenda hawawez kuingia kweny mifumo yake so tusubir tuone summer atafanya usjali gan ila mna bonge la kocha
 

Bangala

Mgeni
Dec 13, 2022
39
24
5
I think we also need to create a good chemistry ya midfielders wetu.We are in a transition phase pale kwenye midfield yetu with the young guys trying to take over from kina modric.Inabidi tupate midfield trio yetu kwamba hawa ndo undisputed starters,kila siku naona different kinds of combination of midfield aisee wachezaji wanakua hawazoeani vizuri kwenye game