Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Okrah Ndio Basi Tena Yanga
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Imeripotiwa Waghana wamefungua milango kwa winga huyo aliyefanya vizuri akiwa na timu hiyo kabla ya kurejea Tanzania wakati wa dirisha dogo, awali aliichezea Simba.

Okrah Magic alisajiliwa na Yanga kipindi cha dirisha dogo, na kutambulishwa kwa staili ya aina yake akiwa kafunikwa kitu maalum na kuoneshwa katika uwanja wa New Amaan Zanzibar.

Amehudumu katika ya Yanga kwa miezi 6 tu, na mechi alizocheza akiwa na klabu ya wananchi Yanga, takribani mechi 4 za Ligi na moja ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi.

Kwa taarifa za ndani ya Yanga zinasema kwamba, nyota huyo Raia wa Ghana hatukuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao 2024/25, hivyo taratibu za kumpa mkono wa kwaheri zinafanyika.

[QUOTE="Kijiweni, post: 5313, member: 476"] Imeripotiwa Waghana wamefungua milango kwa winga huyo aliyefanya vizuri akiwa na timu hiyo kabla ya kurejea Tanzania wakati wa dirisha dogo, awali aliichezea Simba. Okrah Magic alisajiliwa na Yanga kipindi cha dirisha dogo, na kutambulishwa kwa staili ya aina yake akiwa kafunikwa kitu maalum na kuoneshwa katika uwanja wa New Amaan Zanzibar. Amehudumu katika ya Yanga kwa miezi 6 tu, na mechi alizocheza akiwa na klabu ya wananchi Yanga, takribani mechi 4 za Ligi na moja ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi. Kwa taarifa za ndani ya Yanga zinasema kwamba, nyota huyo Raia wa Ghana hatukuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao 2024/25, hivyo taratibu za kumpa mkono wa kwaheri zinafanyika. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Okrah Ndio Basi Tena Yanga
Top
Bottom