Onana ameondolewa kwenye Kikosi cha Cameroon

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
André Onana ameondolewa kwenye kikosi cha Cameroon Kombe la Dunia kwa sababu ya kutofautiana na kocha mkuu kuhusu 'mtindo wake wa uchezaji',

Kocha alisisitiza kuwepo kwa staili tofauti za golikipa, ‘zaidi’ lakini Onana hana nia ya kubadili mtindo wake hivyo ametengwa

35411B6D-9C49-4346-9DBD-1DB95F3EAC14.jpeg
 
  • Like
Reactions: Kriss and Nabi