André Onana ameondolewa kwenye kikosi cha Cameroon Kombe la Dunia kwa sababu ya kutofautiana na kocha mkuu kuhusu 'mtindo wake wa uchezaji',
Kocha alisisitiza kuwepo kwa staili tofauti za golikipa, ‘zaidi’ lakini Onana hana nia ya kubadili mtindo wake hivyo ametengwa
