Otto Addo kocha mkuu wa Ghana amejiuzulu

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Kocha mkuu wa Ghana Otto Addo ameamua kujiuzulu wadhifa wake. Sura yake kama meneja wa Ghana sasa imekwisha.

Uamuzi huo umefanywa huku Otto Addo akiendelea kuwa kocha msaidizi katika klabu ya Borussia Dortmund.
9D239770-F2C0-455B-84D8-737F1FF20535.jpeg
 
  • Like
Reactions: Kriss