Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Pamoja na mapungufu na ukaidi aliounesha…Mchango wa Fei bado unahitajika Yanga!
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pamoja na mapungufu na ukaidi aliounesha…Mchango wa Fei bado unahitajika Yanga..Zile kelele, laana, manung’uniko, lawama kwa viongozi et al ambazo ziliibuka baada ya uamuzi wa Fei ni kwa sababu tunamhitaji na ana mchango mkubwa kwetu Yanga.

Fei kachangia sisi kushinda Kombe la ASFC mwaka jana…

Kachangia kushinda Ubingwa wa Ligi na bado msimu huu ana assist 2 na magoli 6…..

Angekuwa ni Moloko au Yusuf Athuman amefanya kitendo alichofanya Fei sidhani kama kelele, manung’uniko, laana za mashabiki na malalamiko dhidi ya viongozi vingetokea.

Kama kijana kaamua kurejea nyumbani, tumpokee, tumsamehe then tuishi nae, maisha yaendelee…

[QUOTE="Nabi, post: 2523, member: 473"] Pamoja na mapungufu na ukaidi aliounesha…Mchango wa Fei bado unahitajika Yanga..Zile kelele, laana, manung’uniko, lawama kwa viongozi et al ambazo ziliibuka baada ya uamuzi wa Fei ni kwa sababu tunamhitaji na ana mchango mkubwa kwetu Yanga. Fei kachangia sisi kushinda Kombe la ASFC mwaka jana… Kachangia kushinda Ubingwa wa Ligi na bado msimu huu ana assist 2 na magoli 6….. Angekuwa ni Moloko au Yusuf Athuman amefanya kitendo alichofanya Fei sidhani kama kelele, manung’uniko, laana za mashabiki na malalamiko dhidi ya viongozi vingetokea. Kama kijana kaamua kurejea nyumbani, tumpokee, tumsamehe then tuishi nae, maisha yaendelee… [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Pamoja na mapungufu na ukaidi aliounesha…Mchango wa Fei bado unahitajika Yanga!
Top
Bottom