Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Pep aendeleza ubabe kwa Arteta
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MBINU MBINU MBINU.....

Nani aliamini leo Guardiola ataingia na back 3, huku wingback wake wakiwa Mahrez na Grealish wakiwa na kazi kubwa ya kuwakabili Martinell na Saka, lakini Pep amefanya hivyo na kufanikiwa.

City waliingia na 3-2-4-1,kwenye back 3 Dias,Walker na Ake juu yao kuna Rodri na Silva ( double pivot) huku washambuliaji 4 nyuma ya Halaand ni Gundogan,De bruyne Mahrez na Grealish.

Nini Pep alitaka kwenye mfumo huo ni kuhakikisha eneo la katikati ambalo Arsenal wanalitumia zaidi anakuwa na idadi ya viungo wengi ambapo Arsenal wakati wanamiliki mpira wanakuwa kwenye 3-2-2-3,Zichenko akiungana na Jorginho kati.

Pep kwanza alihakikisha Zichenko na Jorginho wanafanyiwa Man marking na Grealish na Mahrez ili kuwanyima Arsenal uhuru wa kutengeneza mashambulizi kupitia kati,huku wakiwalazimisha kufanya makosa kwenye eneo lao( PRESSING)

City walifanikiwa kupora sana mipira(TURNOVER)kwa Arsenal na kutengeneza nafasi za magoli.

Bernado Silva kwenye karatasi alikuwa kama kiungo wa kati lakini muda mwingi wa mchezo alicheza kama beki wa kushoto kumsaidia Ake dhidi ya Saka.

Pep ameendelea kutoa darasa kwa Arteta,mechi ya sita anatoa dozi kwa mwanafunzi wake.

City top of the table

FT: ARSENAL 1-3 CITY.[ATTACH=full]1226[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3337, member: 622"] MBINU MBINU MBINU..... Nani aliamini leo Guardiola ataingia na back 3, huku wingback wake wakiwa Mahrez na Grealish wakiwa na kazi kubwa ya kuwakabili Martinell na Saka, lakini Pep amefanya hivyo na kufanikiwa. City waliingia na 3-2-4-1,kwenye back 3 Dias,Walker na Ake juu yao kuna Rodri na Silva ( double pivot) huku washambuliaji 4 nyuma ya Halaand ni Gundogan,De bruyne Mahrez na Grealish. Nini Pep alitaka kwenye mfumo huo ni kuhakikisha eneo la katikati ambalo Arsenal wanalitumia zaidi anakuwa na idadi ya viungo wengi ambapo Arsenal wakati wanamiliki mpira wanakuwa kwenye 3-2-2-3,Zichenko akiungana na Jorginho kati. Pep kwanza alihakikisha Zichenko na Jorginho wanafanyiwa Man marking na Grealish na Mahrez ili kuwanyima Arsenal uhuru wa kutengeneza mashambulizi kupitia kati,huku wakiwalazimisha kufanya makosa kwenye eneo lao( PRESSING) City walifanikiwa kupora sana mipira(TURNOVER)kwa Arsenal na kutengeneza nafasi za magoli. Bernado Silva kwenye karatasi alikuwa kama kiungo wa kati lakini muda mwingi wa mchezo alicheza kama beki wa kushoto kumsaidia Ake dhidi ya Saka. Pep ameendelea kutoa darasa kwa Arteta,mechi ya sita anatoa dozi kwa mwanafunzi wake. City top of the table FT: ARSENAL 1-3 CITY.[ATTACH type="full"]1226[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Pep aendeleza ubabe kwa Arteta
Top
Bottom