Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Performance nzuri ya Simba kwenye derby ya 8/8/2024 haiifanyi Simba kuchukua taji lolote msimu huu, labda misimu miwili mbeleni
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Baada ya mechi, nimesikiliza maoni mengi sana, mashabiki wengi wa Simba wanasema, Simba hii imeinalika, sawa imecheza vizuri, lakini nawahakikishia, wataendelea kucheza vizuri hivyo hivyo na bado watafungwa na singida, Azam, KMC au JKT. Unajua kwanini?

1. Simba bado haijapata strikers wa uhakika

2. Ligi ya NBC imeimalika sana, timu nyingi kwasasa zipo vizuri sana, kwa kikosi Cha Simba kuchukua mataji, bado sana

3. Kocha Davids hana uwezo wa kubadili mchezo, rejea subs alizozifanya jana

4. Team ya Simba inapambwa sana kuliko uhalisia, nahii inachangiwa na msemaji wao Ahmed Ally, anawafanya wana Simba waione timu Yao ya tofauti saaaana, kumbe ni ileile. Inatakiwa Simba iendelee kutazamwa katika level za kawaida ili iongeze bidii.

5. Simba haina beki ya kuzuia washambuliaji makini. Hussein, kapombe, chemalon na wengine wote, ni beki za kawaida sana.

Baadae mtanielewa maana kwasasa hamuwezi kuyaona haya wanasimba

[QUOTE="Mshua, post: 8198, member: 2315"] Baada ya mechi, nimesikiliza maoni mengi sana, mashabiki wengi wa Simba wanasema, Simba hii imeinalika, sawa imecheza vizuri, lakini nawahakikishia, wataendelea kucheza vizuri hivyo hivyo na bado watafungwa na singida, Azam, KMC au JKT. Unajua kwanini? 1. [B]Simba bado haijapata strikers[/B] wa uhakika 2[B]. Ligi ya NBC imeimalika sana, timu nyingi[/B] kwasasa zipo vizuri sana, kwa kikosi Cha Simba kuchukua mataji, bado sana 3. [B]Kocha Davids hana uwezo wa kubadili mchezo[/B], rejea subs alizozifanya jana 4. [B]Team ya Simba inapambwa sana kuliko uhalisia[/B], nahii inachangiwa na msemaji wao Ahmed Ally, anawafanya wana Simba waione timu Yao ya tofauti saaaana, kumbe ni ileile. Inatakiwa Simba iendelee kutazamwa katika level za kawaida ili iongeze bidii. 5[B]. Simba haina beki ya kuzuia washambuliaji makini[/B]. Hussein, kapombe, chemalon na wengine wote, ni beki za kawaida sana. Baadae mtanielewa maana kwasasa hamuwezi kuyaona haya wanasimba [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Performance nzuri ya Simba kwenye derby ya 8/8/2024 haiifanyi Simba kuchukua taji lolote msimu huu, labda misimu miwili mbeleni
Top
Bottom