Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Playmaker Ni Nani Kwenye Soka...??
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Katika mazingira Mengi,kuna uelewa tofauti Sana kwq Baadhi ya juu ya watu Neno Playmaker na Namna linatumika Kwenye Mpira,kikwetu.playmaker anachukuliwa mtu anayetengeneza assits nyingi na Nafasi Nyingi na ndio kigezo kikubwa Cha Kumpima playmaker.Ni Nani Maana Halisi ya Playmaker??Ni Lazima playmaker awe na assists Nyingibna chances Nyingi??Ni Kigezo Halisi.?? Jibu Ni hapana.

Playmaker Kwenye Mpira sio mtu anaye assists na Kutengeneza Nafasi Pekee,kwenye Mpira playmaker ni Mchezaj anayeuendesha Mchezo yaani Anayeamua timu Icheze Vipi.Playmaker wanahusika Zaidi Katika part ya kushambulia na kuzuia timu Zao, Sababu Hawa huhusika Zaidi Katika moves za Pasi iwe Kwenye Kutoka Kwenda kushambulia au Kutoka Kwenye kuzuia.kiufupi playmaker Anaweza Kabisa asiwe na assists nyingi na Wala asiwe na chances creation Nyingi, kulingana na Namna kocha anatengeneza mbinu zake.

Playmaker pia wanagawanyika Wapo wale ambao wanakuwa Chini Zaidi (deep lying playmaker) Wapo ambao wanakuwa juu Zaidi (advanced playmaker au classic #10) na pia Wanaweza kuwa Kwenye Maeneo mengin kama Mawinga,centre Midfielder kulingana na mkufunzi.

Hivyo basi kigezo Cha Assists na chances kinaweza kisiwe Kizuri Sana Ikiwa hatutoangalia Zaidi Namna timu inatengeneza mbinu zake na moments za wao Kupata Mabao.Kama tutataka kuwapima playmaker Kwa Kutumia kigezo Cha Assists na Nafasi za Magoli waliotengeneza basi ni Lazima tuguse mbinu za timu kiujumla Kabla ya yote.

[QUOTE="ChichaMandi, post: 2648, member: 573"] Katika mazingira Mengi,kuna uelewa tofauti Sana kwq Baadhi ya juu ya watu Neno Playmaker na Namna linatumika Kwenye Mpira,kikwetu.playmaker anachukuliwa mtu anayetengeneza assits nyingi na Nafasi Nyingi na ndio kigezo kikubwa Cha Kumpima playmaker.Ni Nani Maana Halisi ya Playmaker??Ni Lazima playmaker awe na assists Nyingibna chances Nyingi??Ni Kigezo Halisi.?? Jibu Ni hapana. Playmaker Kwenye Mpira sio mtu anaye assists na Kutengeneza Nafasi Pekee,kwenye Mpira playmaker ni Mchezaj anayeuendesha Mchezo yaani Anayeamua timu Icheze Vipi.Playmaker wanahusika Zaidi Katika part ya kushambulia na kuzuia timu Zao, Sababu Hawa huhusika Zaidi Katika moves za Pasi iwe Kwenye Kutoka Kwenda kushambulia au Kutoka Kwenye kuzuia.kiufupi playmaker Anaweza Kabisa asiwe na assists nyingi na Wala asiwe na chances creation Nyingi, kulingana na Namna kocha anatengeneza mbinu zake. Playmaker pia wanagawanyika Wapo wale ambao wanakuwa Chini Zaidi (deep lying playmaker) Wapo ambao wanakuwa juu Zaidi (advanced playmaker au classic #10) na pia Wanaweza kuwa Kwenye Maeneo mengin kama Mawinga,centre Midfielder kulingana na mkufunzi. Hivyo basi kigezo Cha Assists na chances kinaweza kisiwe Kizuri Sana Ikiwa hatutoangalia Zaidi Namna timu inatengeneza mbinu zake na moments za wao Kupata Mabao.Kama tutataka kuwapima playmaker Kwa Kutumia kigezo Cha Assists na Nafasi za Magoli waliotengeneza basi ni Lazima tuguse mbinu za timu kiujumla Kabla ya yote. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Playmaker Ni Nani Kwenye Soka...??
Top
Bottom