Poul Bento kuondoka South Korea baada ya kufikia malengo

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Paulo Bento anaondoka Korea Kusini, yametimia baada ya kuwapeleka katika hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza baada ya miaka 12.

Kazi nzuri ya Bento, sasa iko tayari kwa sura mpya.
FjP7fNLWIA8ceu0.jpg