Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Premier League: Uzi maalumu wa matokeo, msimamo wa ligi, wafungaji n.k
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Fulham Yafanikiwa Kupanda Daraja, Sasa Kucheza Ligi Kuu ya Uingereza Msimu Ujao

Mshambuliaji wa klabu ya Fulham Aleksandar Mitrovic amefunga jumla ya mabao 40

KLABU ya Fulham yenye makao yake jijini London katika Uwanja wa Craven Cottage imefanikiwa kupanda daraja na kushiriki Ligi Kuu ya Uingereza EPL msimu ujao wa 2022/2023.

Klabu hiyo imefanikiwa kupanda daraja mara baada ya jana kuifunga klabu ya Preston kwa jumla ya mabao 3-0 ambapo mabao mawili yalifungwa na mshambuliaji raia wa Serbia Aleksandar Mitrovic aliyefunga mabao mawili huku bao jingine likifungwa na Fabio Carvalho raia wa Ureno ambaye msimu ujao atajiunga na Liverpool.

Katika harakati za kupanda daraja Fulham imefanikiwa kushinda michezo 26 kutoka sare michezo 8 na kupoteza michezo 8 huku klabu hiyo ikifikisha jumla ya pointi 98.

Mashabiki wa Fulham wakifurahi klabu yao kurejea Ligi Kuu nchini Uingereza

Kwa upande mwingine mshambuliaji hatari na tegemezi wa klabu hiyo Aleksandar Mitrovic amefikisha jumla ya mabao 40 ikiwa ni mabao mawili nyuma ya rekodi iliyowekwa na Guy Whittingham akiwa na Portsmouth kwenye msimu wa 1992-1993 alipofunga jumla ya mabao 42.

Naye kocha wa Fulham Marco Silva amesema klabu hiyo ilistahili kupanda daraja na kwamba ilikuwa na kila sababu ya kujivunia mafanikio iliyopata.

[QUOTE="Amir, post: 1432, member: 20"] [HEADING=1]Fulham Yafanikiwa Kupanda Daraja, Sasa Kucheza Ligi Kuu ya Uingereza Msimu Ujao[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/batch_skysports-aleksandar-mitrovic_5744654.jpg[/IMG] [I][B]Mshambuliaji wa klabu ya Fulham Aleksandar Mitrovic amefunga jumla ya mabao 40[/B][/I] KLABU ya Fulham yenye makao yake jijini London katika Uwanja wa Craven Cottage imefanikiwa kupanda daraja na kushiriki Ligi Kuu ya Uingereza EPL msimu ujao wa 2022/2023. Klabu hiyo imefanikiwa kupanda daraja mara baada ya jana kuifunga klabu ya Preston kwa jumla ya mabao 3-0 ambapo mabao mawili yalifungwa na mshambuliaji raia wa Serbia Aleksandar Mitrovic aliyefunga mabao mawili huku bao jingine likifungwa na Fabio Carvalho raia wa Ureno ambaye msimu ujao atajiunga na Liverpool. Katika harakati za kupanda daraja Fulham imefanikiwa kushinda michezo 26 kutoka sare michezo 8 na kupoteza michezo 8 huku klabu hiyo ikifikisha jumla ya pointi 98. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/skysports-fulham-fc_5744644.jpg[/IMG] [I][B]Mashabiki wa Fulham wakifurahi klabu yao kurejea Ligi Kuu nchini Uingereza[/B][/I] Kwa upande mwingine mshambuliaji hatari na tegemezi wa klabu hiyo Aleksandar Mitrovic amefikisha jumla ya mabao 40 ikiwa ni mabao mawili nyuma ya rekodi iliyowekwa na Guy Whittingham akiwa na Portsmouth kwenye msimu wa 1992-1993 alipofunga jumla ya mabao 42. Naye kocha wa Fulham Marco Silva amesema klabu hiyo ilistahili kupanda daraja na kwamba ilikuwa na kila sababu ya kujivunia mafanikio iliyopata. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Premier League: Uzi maalumu wa matokeo, msimamo wa ligi, wafungaji n.k
Top
Bottom