Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Premier League: Uzi maalumu wa matokeo, msimamo wa ligi, wafungaji n.k
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

CHELSEA YAAMBULIA SARE KWA LIVERPOOL, 2-2 DARAJANI.

[ATTACH=full]130[/ATTACH]

WENYEJI, Chelsea wametoka nyuma kwa mabao 2-0 na kupata sare ya 2-2 na Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.

Liverpool ilitangulia kwa mabao ya washambuliaji wake tegemeo wa Kiafrika, Msenegal Sadio Mané dakika ya tisa na Mmisri, Mohamed Salah dakika ya 26, kabla ya Chelsea kusawazisha kupitia kwa Mateo Kovacic dakika ya 42 na Christian Pulisic dakika ya 45.

Chelsea inafikisha pointi 43, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi 10 na mabingwa watetezi, Manchester City baada ya wote kucheza mechi 21, wakati Liverpool inafikisha pointi 42 katika mchezo wa 20 nafasi ya tatu.

[QUOTE="vuligate, post: 246, member: 123"] [HEADING=2]CHELSEA YAAMBULIA SARE KWA LIVERPOOL, 2-2 DARAJANI.[/HEADING] [ATTACH type="full"]130[/ATTACH] WENYEJI, Chelsea wametoka nyuma kwa mabao 2-0 na kupata sare ya 2-2 na Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Liverpool ilitangulia kwa mabao ya washambuliaji wake tegemeo wa Kiafrika, Msenegal Sadio Mané dakika ya tisa na Mmisri, Mohamed Salah dakika ya 26, kabla ya Chelsea kusawazisha kupitia kwa Mateo Kovacic dakika ya 42 na Christian Pulisic dakika ya 45. Chelsea inafikisha pointi 43, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi 10 na mabingwa watetezi, Manchester City baada ya wote kucheza mechi 21, wakati Liverpool inafikisha pointi 42 katika mchezo wa 20 nafasi ya tatu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Premier League: Uzi maalumu wa matokeo, msimamo wa ligi, wafungaji n.k
Top
Bottom