Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Premier League: Uzi maalumu wa matokeo, msimamo wa ligi, wafungaji n.k
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Rooney Atajwa Kuinoa Everton

MKONGWE wa Manchester United, Wayne Rooney anatajwa kuwa huenda akarithi mikoba ya Rafael Benitez

ndani ya Goodison Park.

Everton siku ya Jumapili ilimfuta kazi aliyekuwa kocha wake Rafael Benetiz baada ya timu hiyo kuendelea kufanya vibaya ndani ya Premier League.

Ushindi wa Norwich City wa mabao 2-1 dhidi ya Everton ndiyo ulipelekea kibarua cha kocha huyo kuota nyasi,

baada ya kocha huyo kudumu hapo kwa miezi sita tu.

Inaelezwa kuwa kocha huyo hakupewa fedha za kutosha kwaajili ya kufanya usajili kwani katika mechi 12 zao za

mwisho alipoteza tisa. Taarifa zinaeleza kuwa baada ya kuondolewa Benitez, Rooney ndiye ambaye kwa sasa anainoa Derby County ya Championship ndiye anatajwa kuwa na nafasi

kubwa ya kutua kwenye kikosi hicho.

Rooney ambaye aliwahi kuichezea Everton anapewa nafasi ya kwenda kukinoa kikosi hicho zaidi japo kuna makocha wengine pia wanatajwa. Makocha kama Duncan Ferguson (msaidiz sasa) ambaye aliwahi kuishikilia kwa muda huko naye anatajwa kupewa timu

[QUOTE="Amir, post: 447, member: 20"] [HEADING=1]Rooney Atajwa Kuinoa Everton[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/0_GettyImages-1236714424.jpg[/IMG] MKONGWE wa Manchester United, Wayne Rooney anatajwa kuwa huenda akarithi mikoba ya Rafael Benitez ndani ya Goodison Park. Everton siku ya Jumapili ilimfuta kazi aliyekuwa kocha wake Rafael Benetiz baada ya timu hiyo kuendelea kufanya vibaya ndani ya Premier League. Ushindi wa Norwich City wa mabao 2-1 dhidi ya Everton ndiyo ulipelekea kibarua cha kocha huyo kuota nyasi, baada ya kocha huyo kudumu hapo kwa miezi sita tu. Inaelezwa kuwa kocha huyo hakupewa fedha za kutosha kwaajili ya kufanya usajili kwani katika mechi 12 zao za mwisho alipoteza tisa. Taarifa zinaeleza kuwa baada ya kuondolewa Benitez, Rooney ndiye ambaye kwa sasa anainoa Derby County ya Championship ndiye anatajwa kuwa na nafasi kubwa ya kutua kwenye kikosi hicho. Rooney ambaye aliwahi kuichezea Everton anapewa nafasi ya kwenda kukinoa kikosi hicho zaidi japo kuna makocha wengine pia wanatajwa. Makocha kama Duncan Ferguson (msaidiz sasa) ambaye aliwahi kuishikilia kwa muda huko naye anatajwa kupewa timu [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Premier League: Uzi maalumu wa matokeo, msimamo wa ligi, wafungaji n.k
Top
Bottom