Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Premier League: Uzi maalumu wa matokeo, msimamo wa ligi, wafungaji n.k
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ujanja wa Southampton washtukiwa.

LONDON, ENGLAND. UNAAMBIWA kushinda mechi kunahitaji mbinu za kijanja. Na hilo linadaiwa kufanywa na Southampton kwenye Ligi Kuu England msimu huu. Na hakika kikosi hicho cha St Mary’s mambo yao yamekuwa yakienda vizuri uwanjani tangu walipokuja na mbinu hiyo mpya.

Mfano mzuri ni kiwango chao cha wiki iliyopita, ambapo walipindua matokeo ya kichapo cha mabao 2-1 na kushinda 3-2 dhidi ya Tottenham.

Ni hivi, wachezaji wa Southampton wameanzisha desturi ya kujiangusha na kuhitaji matibabu ndani ya uwanja kati ya dakika 60 na 70 kwenye mechi zao msimu huu.

Na The Athletic limefanya utafiti na kugundua huo huo ni mpango unaofanywa makusudi na timu hiyo. Utafiti huo umeonyesha kwamba wachezaji wa Southampton waliojiangusha na kuhitaji kutibiwa kati ya dakika 60 na 70 ni 14 katika mechi zao 24 walizocheza kwenye Ligi Kuu England msimu huu. Kila wakati wanapofanya hivyo, wachezaji wamekuwa wakikimbilia nje ya uwanja kupewa vinywaji vya kuongeza nguvu na kupata mapumziko kidogo. Bado haijathibitika kama mastaa wa Southampton wanajiumiza makusudi kusimamisha mchezo.

Vinywaji wanavyopewa vinaripotiwa kuwaongezea nguvu wachezaji, ambao wanaonekana kumaliza mechi dakika za mwisho kwa nguvu sana.

Kuthibitisha hilo, mchezaji Adam Armstrong amedaiwa kuumia mara nne tofauti ndani ya muda huo katika mechi tofauti kukamilisha mpango.

Kwenye mechi ya Spurs, Che Adams aliumia dakika 63, kabla ya Armando Broja naye kuumia na kutaka matibabu yanayochukua dakika kadhaa kwenye dakika 70 baada ya Son Heung-min kufunga bao na kuifanya Spurs kuongoza 2-1. Jambo hilo lilidaiwa kufanya mambo kuwa mazuri, ambapo mabao mawili ya dakika za mwisho kutoka kwa Mohamed Elyounoussi na Che Adams yaliisaidia Saints kupindua matokeo ya kushinda 3-2.

Daktari wa zamani wa Wolves, Phil Hayward aliiambia The Athletic: “Nina hakika wanasayari ya michezo watakuwa wametoa pendekezo la kufanya hivyo na kocha (Ralph) Hasenhuttl amelipitisha.”

[QUOTE="Amir, post: 959, member: 20"] [HEADING=1]Ujanja wa Southampton washtukiwa.[/HEADING] [IMG alt="UwanjaPIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3719858/landscape_ratio16x9/1160/652/ee06a82c0e647e0285b9d75b742815ec/VN/uwanjapic.jpg[/IMG] [B]LONDON, ENGLAND. [/B]UNAAMBIWA kushinda mechi kunahitaji mbinu za kijanja. Na hilo linadaiwa kufanywa na Southampton kwenye Ligi Kuu England msimu huu. Na hakika kikosi hicho cha St Mary’s mambo yao yamekuwa yakienda vizuri uwanjani tangu walipokuja na mbinu hiyo mpya. Mfano mzuri ni kiwango chao cha wiki iliyopita, ambapo walipindua matokeo ya kichapo cha mabao 2-1 na kushinda 3-2 dhidi ya Tottenham. Ni hivi, wachezaji wa Southampton wameanzisha desturi ya kujiangusha na kuhitaji matibabu ndani ya uwanja kati ya dakika 60 na 70 kwenye mechi zao msimu huu. Na The Athletic limefanya utafiti na kugundua huo huo ni mpango unaofanywa makusudi na timu hiyo. Utafiti huo umeonyesha kwamba wachezaji wa Southampton waliojiangusha na kuhitaji kutibiwa kati ya dakika 60 na 70 ni 14 katika mechi zao 24 walizocheza kwenye Ligi Kuu England msimu huu. Kila wakati wanapofanya hivyo, wachezaji wamekuwa wakikimbilia nje ya uwanja kupewa vinywaji vya kuongeza nguvu na kupata mapumziko kidogo. Bado haijathibitika kama mastaa wa Southampton wanajiumiza makusudi kusimamisha mchezo. Vinywaji wanavyopewa vinaripotiwa kuwaongezea nguvu wachezaji, ambao wanaonekana kumaliza mechi dakika za mwisho kwa nguvu sana. Kuthibitisha hilo, mchezaji Adam Armstrong amedaiwa kuumia mara nne tofauti ndani ya muda huo katika mechi tofauti kukamilisha mpango. Kwenye mechi ya Spurs, Che Adams aliumia dakika 63, kabla ya Armando Broja naye kuumia na kutaka matibabu yanayochukua dakika kadhaa kwenye dakika 70 baada ya Son Heung-min kufunga bao na kuifanya Spurs kuongoza 2-1. Jambo hilo lilidaiwa kufanya mambo kuwa mazuri, ambapo mabao mawili ya dakika za mwisho kutoka kwa Mohamed Elyounoussi na Che Adams yaliisaidia Saints kupindua matokeo ya kushinda 3-2. Daktari wa zamani wa Wolves, Phil Hayward aliiambia The Athletic: “Nina hakika wanasayari ya michezo watakuwa wametoa pendekezo la kufanya hivyo na kocha (Ralph) Hasenhuttl amelipitisha.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Premier League: Uzi maalumu wa matokeo, msimamo wa ligi, wafungaji n.k
Top
Bottom