Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Premier League: Uzi maalumu wa matokeo, msimamo wa ligi, wafungaji n.k
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kane, Pochettino kuna kitu spesho.

LONDON, ENGLAND. STRAIKA, Harry Kane ameripotiwa kufungua milango ya kwenda kuungana na kocha wake wa zamani Mauricio Pochettino wakati huu bosi huyo wa Paris Saint-Germain akihusishwa na kibarua cha kwenda kuinoa Manchester United.

Kane, 28, aliwahi kufanya kazi na Pochettino huko Tottenham Hotspur kwa kipindi cha miaka mitano na wawili hao walitengeneza muunganiko mzuri wa kocha na mchezaji. Kwa pamoja waliifikisha Spurs fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2019 na kwa misimu mfululizo imekuwa ikimaliza ndani ya Top Four kwenye Ligi Kuu England, kitu ambacho kwa Man United kimekuwa kigumu kwa siku za hivi karibuni tangu Sir Alex Ferguson alipostaafu huko Old Trafford.

Pochettino bado ana mkataba PSG hadi Juni 2023, lakini kwa sasa anapewa nafasi kubwa ya kwenda kuchukua mikoba ya kuinoa Man United mwisho wa msimu huu ambapo kwa sasa ipo chini ya kocha wa mpito, Ralf Rangnick.

Na iliripotiwa kwamba Pochettino atahitaji kuwa na huduma ya Kane huko Old Trafford kama atapewa mikoba ya kuwa kocha.

Gazeti la The Telegraph linaripoti kwamba Kane ni mfungaji mahiri wa ambaye ambaye Man United inamhitaji kuwa naye kwenye kikosi chao tangu ilipoachana na Robin van Persie, aliyetupia nyavuni mabao 26 katika msimu wake wa mwisho na Ferguson.

Na mtu wa karibu wa Kane alisema kwamba nahodha huyo wa England anasubiri kwa hamu kubwa nafasi ya kufanya kazi tena chini ya Pochettino. Kane alikaribia kujiunga na Manchester City kwenye dirisha lililopita la majira ya kiangazi baada ya kufikia makubaliano binafsi, lakini mwenyekiti wa Spurs, Daniel Levy dau lake la kutaka alipwe Pauni 160 milioni lilikuwa kikwazo.

[QUOTE="Amir, post: 960, member: 20"] [HEADING=1]Kane, Pochettino kuna kitu spesho.[/HEADING] [IMG alt="Kane PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3719854/landscape_ratio16x9/1160/652/46c10a7342946522534542e32a99fc2d/QZ/kane-pic.jpg[/IMG] [B]LONDON, ENGLAND.[/B] STRAIKA, Harry Kane ameripotiwa kufungua milango ya kwenda kuungana na kocha wake wa zamani Mauricio Pochettino wakati huu bosi huyo wa Paris Saint-Germain akihusishwa na kibarua cha kwenda kuinoa Manchester United. Kane, 28, aliwahi kufanya kazi na Pochettino huko Tottenham Hotspur kwa kipindi cha miaka mitano na wawili hao walitengeneza muunganiko mzuri wa kocha na mchezaji. Kwa pamoja waliifikisha Spurs fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwaka 2019 na kwa misimu mfululizo imekuwa ikimaliza ndani ya Top Four kwenye Ligi Kuu England, kitu ambacho kwa Man United kimekuwa kigumu kwa siku za hivi karibuni tangu Sir Alex Ferguson alipostaafu huko Old Trafford. Pochettino bado ana mkataba PSG hadi Juni 2023, lakini kwa sasa anapewa nafasi kubwa ya kwenda kuchukua mikoba ya kuinoa Man United mwisho wa msimu huu ambapo kwa sasa ipo chini ya kocha wa mpito, Ralf Rangnick. Na iliripotiwa kwamba Pochettino atahitaji kuwa na huduma ya Kane huko Old Trafford kama atapewa mikoba ya kuwa kocha. Gazeti la The Telegraph linaripoti kwamba Kane ni mfungaji mahiri wa ambaye ambaye Man United inamhitaji kuwa naye kwenye kikosi chao tangu ilipoachana na Robin van Persie, aliyetupia nyavuni mabao 26 katika msimu wake wa mwisho na Ferguson. Na mtu wa karibu wa Kane alisema kwamba nahodha huyo wa England anasubiri kwa hamu kubwa nafasi ya kufanya kazi tena chini ya Pochettino. Kane alikaribia kujiunga na Manchester City kwenye dirisha lililopita la majira ya kiangazi baada ya kufikia makubaliano binafsi, lakini mwenyekiti wa Spurs, Daniel Levy dau lake la kutaka alipwe Pauni 160 milioni lilikuwa kikwazo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Premier League: Uzi maalumu wa matokeo, msimamo wa ligi, wafungaji n.k
Top
Bottom