Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Prof Janabi Awapa Makavu Simba & Yanga
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa, Mohamed Janabi amezigeukia Yanga, Simba, Azam FC na Coastal Union na kuzishauri kuzingatia zaidi vipimo makini kwa wachezaji wapya watakaowasajili msimu wa 2023/24.

Kauli hiyo aliitoa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uwezo wa Hospital ya Muhimbili- Mloganzila, katika tukio la kuagana na mchezaji wa zamani wa Yanga, Sunday Manara ambaye alikuwa akifanyiwa matibabu kwenye hospitali hiyo baada ya upasuaji wa goti.

Janabi amezitaka klabu hizo ambazo zinaenda kuwakilisha nchi katika michuano ya kimataifa, Yanga na Azam FC wakicheza Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Coastal Union wakicheza Kombe la Shirikisho ziwekeze zaidi katika suala la kupima afya za wachezaji wanaowasajili, kwa kuangalia maeneo makuu mawili ambayo ni utimamu wa afya ya magoti na moyo.

“Hizi klabu zinatumia fedha nyingi sana kusajili wachezaji hao wa kigeni, kabla ya kuwapa mkataba wanalazimika kuwapima afya zao, Mlonganzila tupo tayari kuangalia afya za wachezaji hao wanaowasajili,” amesema na kuzitaka zisidanganyike na clip za YouTube, bali zizingatie afya.

Itakumbukwa kwamba, Simba na Coastal Union zitaiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho, huku kwa upande wa Yanga na Azam FC wao watakipiga Klabu bingwa Afrika.

Kwa Azam FC hii inakuwa ni mara ya kwanza kwa klabu hiyo kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Je safari itaishia hatua gani?

[QUOTE="Hammy36, post: 5284, member: 617"] MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa, Mohamed Janabi amezigeukia Yanga, Simba, Azam FC na Coastal Union na kuzishauri kuzingatia zaidi vipimo makini kwa wachezaji wapya watakaowasajili msimu wa 2023/24. Kauli hiyo aliitoa alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uwezo wa Hospital ya Muhimbili- Mloganzila, katika tukio la kuagana na mchezaji wa zamani wa Yanga, Sunday Manara ambaye alikuwa akifanyiwa matibabu kwenye hospitali hiyo baada ya upasuaji wa goti. Janabi amezitaka klabu hizo ambazo zinaenda kuwakilisha nchi katika michuano ya kimataifa, Yanga na Azam FC wakicheza Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Coastal Union wakicheza Kombe la Shirikisho ziwekeze zaidi katika suala la kupima afya za wachezaji wanaowasajili, kwa kuangalia maeneo makuu mawili ambayo ni utimamu wa afya ya magoti na moyo. “Hizi klabu zinatumia fedha nyingi sana kusajili wachezaji hao wa kigeni, kabla ya kuwapa mkataba wanalazimika kuwapima afya zao, Mlonganzila tupo tayari kuangalia afya za wachezaji hao wanaowasajili,” amesema na kuzitaka zisidanganyike na clip za YouTube, bali zizingatie afya. Itakumbukwa kwamba, Simba na Coastal Union zitaiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho, huku kwa upande wa Yanga na Azam FC wao watakipiga Klabu bingwa Afrika. Kwa Azam FC hii inakuwa ni mara ya kwanza kwa klabu hiyo kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Je safari itaishia hatua gani? [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Prof Janabi Awapa Makavu Simba & Yanga
Top
Bottom