Tangu ajiunge na Yanga Sc kocha Nabi raia wa Tunisia amepoteza mechi yake ya pili ya ligi kuu Tanzania bara.
Hongera Sana Kocha wetu Nabi kwa historia uliyotuwekea ,hakuna kocha aliyewahi kuongoza timu kwenye ligi yetu akacheza michezo 49 bila kupoteza.
Kwetu mashabiki ni huzuni kupoteza alama tatu muhimu wala tusijilaumu kwa kupoteza unbeaten,dk 90 zimemalizika kwa uchungu sana filimbi ya mwisho inapiga wanajeshi wetu wanaanguka chini kwa maumivu makali ,ni wakati sasa wa kuendelea kupambana yamehatokea hakuna namna.
Kama Rais wetu Eng Hersi Said baada ya dk 90 kutamatika alisimama kwa ushujaa na kupiga makofi ishara ya kutokukata tamaa.
NB Simba kama mnaweza fikisheni unbeaten 20 tu .