Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
PROFESSOR NASREDDINE MOHAMED NABI
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Tangu ajiunge na Yanga Sc kocha Nabi raia wa Tunisia amepoteza mechi yake ya pili ya ligi kuu Tanzania bara.

Hongera Sana Kocha wetu Nabi kwa historia uliyotuwekea ,hakuna kocha aliyewahi kuongoza timu kwenye ligi yetu akacheza michezo 49 bila kupoteza.

Kwetu mashabiki ni huzuni kupoteza alama tatu muhimu wala tusijilaumu kwa kupoteza unbeaten,dk 90 zimemalizika kwa uchungu sana filimbi ya mwisho inapiga wanajeshi wetu wanaanguka chini kwa maumivu makali ,ni wakati sasa wa kuendelea kupambana yamehatokea hakuna namna.

Kama Rais wetu Eng Hersi Said baada ya dk 90 kutamatika alisimama kwa ushujaa na kupiga makofi ishara ya kutokukata tamaa.

NB Simba kama mnaweza fikisheni unbeaten 20 tu .

[ATTACH=full]662[/ATTACH]

[QUOTE="sharon, post: 1911, member: 470"] Tangu ajiunge na Yanga Sc kocha Nabi raia wa Tunisia amepoteza mechi yake ya pili ya ligi kuu Tanzania bara. Hongera Sana Kocha wetu Nabi kwa historia uliyotuwekea ,hakuna kocha aliyewahi kuongoza timu kwenye ligi yetu akacheza michezo 49 bila kupoteza. Kwetu mashabiki ni huzuni kupoteza alama tatu muhimu wala tusijilaumu kwa kupoteza unbeaten,dk 90 zimemalizika kwa uchungu sana filimbi ya mwisho inapiga wanajeshi wetu wanaanguka chini kwa maumivu makali ,ni wakati sasa wa kuendelea kupambana yamehatokea hakuna namna. Kama Rais wetu Eng Hersi Said baada ya dk 90 kutamatika alisimama kwa ushujaa na kupiga makofi ishara ya kutokukata tamaa. NB Simba kama mnaweza fikisheni unbeaten 20 tu . [ATTACH type="full"]662[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
PROFESSOR NASREDDINE MOHAMED NABI
Top
Bottom