Project ya Ten Hag ishaanza kumvutia Jude Bellingham

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Sio muda mrefu uliopita, Manchester United wangeonekana kama watu wa nje kwa Bellingham.

Lakini mambo yanabadilika katika nusu nyekundu ya Manchester, huku timu ya Erik ten Hag ikiwa katika hali ya kuvutia kwenye ligi na Glazers wanajaribu kuuza.
David_Ornstein

Project ya Ten Hag ishaanza kumvutia Jude Bellingham

Kimsingi Liverpool na Chelsea hawana ushawishi hapo

To Conference League

Kama Enzo walimsajili kwa £106m
Acha tuongeze £24m kwa Bellingham
Kwanza muingereza naona dalili zote za kumsajili

5CA7D932-3DAA-42F2-80C6-09073820714C.jpeg