Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
PSG
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mbappe: Messi? Ballon d’Or sio ishu kwake

PARIS UFARANSA. SUPASTAA, Kylian Mbappe amesema tuzo za Ballon d;Or za Lionel Messi ni namba tu, hazihusiani chochote na kiwango cha soka lake huko kwenye kikosi cha Paris Saint-Germain. Messi aliachana na Barcelona kwenye dirisha lililopita la uhamisho wa majira ya kiangazi mwaka jana na kutua Parc des Princes kwa uhamisho wa bure kabisa.

Messi, anahesabika kama mmoja wa wanasoka bora wa muda wote duniani, akivunja rekodi kibao huko Hispania, lakini amekuwa na wakati mgumu tangu alipotua Ufaransa.

Aliasisti mara mbili kwenye ushindi wa mabao 3-1 iliyopata PSG dhidi ya Saint-Etienne Jumamosi iliyopita, lakini amefunga mara saba tu katika mechi 23 alizocheza msimu huu.

Messi amefunga mabao machache sana ukilinganisha na makali yake ndani ya muongo huu, lakini Mbappe alisema mafanikio yake ya huko nyuma hayana maana yoyote. Mbappe, ambaye alifunga mabao mawili, anaamini Messi atakuja kutamba tu. Mbappe alisema: “Ni mchezaji mahiri. Nafurahi kwa sababu zote tunafahamu anajaribu kuzoea maisha mapya, jiji jipya na klabu mpya. Hata kama umeshinda tuzo saba za Ballons d’Or, bado kuna maisha lazima uyazoee kwanza.”

Mabao mawili ya Mbappe aliyofunga Jumamosi yamemfanya afikie rekodi ya Zlatan Ibrahimovic ya mabao 156. Hata hivyo, bado ana safari ndefu ya kumfikia kinara wa mabao wa PSG, Edinson Cavani, ambaye amefunga mabao 200, huku Mfaransa huyo akihusishwa na mpango wa kuondoka kwenye timu hiyo.

[QUOTE="mhariri, post: 1118, member: 122"] [HEADING=1]Mbappe: Messi? Ballon d’Or sio ishu kwake[/HEADING] [IMG alt="Ballon PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3636562/landscape_ratio16x9/1160/652/d258871cf25ae61b48bfe06ee77f5188/yL/ballon-pic.jpg[/IMG] [B]PARIS UFARANSA[/B]. SUPASTAA, Kylian Mbappe amesema tuzo za Ballon d;Or za Lionel Messi ni namba tu, hazihusiani chochote na kiwango cha soka lake huko kwenye kikosi cha Paris Saint-Germain. Messi aliachana na Barcelona kwenye dirisha lililopita la uhamisho wa majira ya kiangazi mwaka jana na kutua Parc des Princes kwa uhamisho wa bure kabisa. Messi, anahesabika kama mmoja wa wanasoka bora wa muda wote duniani, akivunja rekodi kibao huko Hispania, lakini amekuwa na wakati mgumu tangu alipotua Ufaransa. Aliasisti mara mbili kwenye ushindi wa mabao 3-1 iliyopata PSG dhidi ya Saint-Etienne Jumamosi iliyopita, lakini amefunga mara saba tu katika mechi 23 alizocheza msimu huu. Messi amefunga mabao machache sana ukilinganisha na makali yake ndani ya muongo huu, lakini Mbappe alisema mafanikio yake ya huko nyuma hayana maana yoyote. Mbappe, ambaye alifunga mabao mawili, anaamini Messi atakuja kutamba tu. Mbappe alisema: “Ni mchezaji mahiri. Nafurahi kwa sababu zote tunafahamu anajaribu kuzoea maisha mapya, jiji jipya na klabu mpya. Hata kama umeshinda tuzo saba za Ballons d’Or, bado kuna maisha lazima uyazoee kwanza.” Mabao mawili ya Mbappe aliyofunga Jumamosi yamemfanya afikie rekodi ya Zlatan Ibrahimovic ya mabao 156. Hata hivyo, bado ana safari ndefu ya kumfikia kinara wa mabao wa PSG, Edinson Cavani, ambaye amefunga mabao 200, huku Mfaransa huyo akihusishwa na mpango wa kuondoka kwenye timu hiyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
PSG
Top
Bottom