Unaambiwa chukua wachezaji wako wote bora uliowahi kuwaona kuanzia unalijua soka, mfano mimi nimeanza kulijua soka mwaka 1994.
Basi hakuna mtu alijua kusakata kabumbu kama Pele, hata ukimchukua huyo Messi wako jumlisha Ronaldo, weka Mbappe na Haaland, bado wote hawamfikii Mzee Pele


