Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Quality imeamua Mechi ya Simba Jana.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ubora wa kikosi cha Raja dhidi ya Simba ndo ulioamua matokeo yale pale kwa Mkapa.

Walicheza very direct wakati wanamiliki mpira pasi ya kwanza ya pili wapo golini kwa Simba,walifanya Movements za kuifungua sana safu ya ulinzi ya Simba.

Inonga mara nyingi alikuwa anatolewa kwenye eneo lake,mfano mzuri goli la kwanza ata la tatu pia,waliifanya timu nzima ya Simba iwe wazi wakati wanamiliki mpira.

Raja wametoa darasa kwa Simba kwamba ubora wa kikosi unahitajika sana ili kufanikiwa kimataifa na sio hamasa za nje ya uwanja peke yake.

Simba wanatakiwa kushinda mechi zao mbili dhidi ya Vipers ili kurudisha matumaini ya kufuzu robo fainali.

Kwa mara ya kwanza Simba amepigwa kwa Mkapa kwenye klabu bingwa Afrika toka 2003, tena amefungwa kipigo heavy.[ATTACH=full]1240[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3373, member: 622"] Ubora wa kikosi cha Raja dhidi ya Simba ndo ulioamua matokeo yale pale kwa Mkapa. Walicheza very direct wakati wanamiliki mpira pasi ya kwanza ya pili wapo golini kwa Simba,walifanya Movements za kuifungua sana safu ya ulinzi ya Simba. Inonga mara nyingi alikuwa anatolewa kwenye eneo lake,mfano mzuri goli la kwanza ata la tatu pia,waliifanya timu nzima ya Simba iwe wazi wakati wanamiliki mpira. Raja wametoa darasa kwa Simba kwamba ubora wa kikosi unahitajika sana ili kufanikiwa kimataifa na sio hamasa za nje ya uwanja peke yake. Simba wanatakiwa kushinda mechi zao mbili dhidi ya Vipers ili kurudisha matumaini ya kufuzu robo fainali. Kwa mara ya kwanza Simba amepigwa kwa Mkapa kwenye klabu bingwa Afrika toka 2003, tena amefungwa kipigo heavy.[ATTACH type="full"]1240[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Quality imeamua Mechi ya Simba Jana.
Top
Bottom