Raisi wa FIFA akitilia mkazo kanuni za Qatar

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
"Naamini unaweza usinywe pombe kwa masaa matatu na bado hautokufa, kuna Nchi nyingi tu zinapiga marufuku unywaji wa pombe Viwanjani ikiwemo Ufaransa, lakini kwakuwa hii ni Qatar na Nchi ya Kiislamu basi ni tatizo" - Gianni Infantino, Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) akiendelea kutilia mkazo kuhusu Sheria, kanuni, ... za Nchi ya Qatar.

Lakini wanaeza kuona ni rahisi na ni kweli ni rahisi kujizuia kunywa pombe kwa muda flani ila vipi ki biashara sio fursa? na hata wao wenyewe kupata wadhamini zaidi kwenye michezo hiyo, wanaangalia uhitaji wa watu ila pia kuna uhitaji kifedha kimafanikio. Lakini ni Mji wa watu tutii masharti
e50f670d-9718-499b-9d04-c39d8b2cf89b.jpeg