Ratiba Kamili Ya Yanga Kujiandaa Na Msimu wa 2024/2025 Umeionaje?

Roy Creation

Mpiga Chabo
Jun 16, 2024
7
0
0
Pre Season ya Young Africans πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

➑️ Leo Julai 18 inaenda Afrika Kusini πŸ‡ΏπŸ‡¦
➑️ Julai 20 inacheza πŸ†š Augsburg πŸ‡©πŸ‡ͺ
➑️ Julai 24 inacheza πŸ†š Ts Galaxy πŸ‡ΏπŸ‡¦ (Closed Door)
➑️ Julai 28 inacheza πŸ†š Kaizer Chiefs πŸ‡ΏπŸ‡¦
➑️ Alfajiri ya Julai 30 inawasili Dar Es Salaam πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
iko unyama sana dadeki tukirudi ni kumkanda kolo-wizard na Magoma wao
 
Newton

Mpiga Chabo
Jun 5, 2024
8
0
0
Pre Season ya Young Africans πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

➑️ Leo Julai 18 inaenda Afrika Kusini πŸ‡ΏπŸ‡¦
➑️ Julai 20 inacheza πŸ†š Augsburg πŸ‡©πŸ‡ͺ
➑️ Julai 24 inacheza πŸ†š Ts Galaxy πŸ‡ΏπŸ‡¦ (Closed Door)
➑️ Julai 28 inacheza πŸ†š Kaizer Chiefs πŸ‡ΏπŸ‡¦
➑️ Alfajiri ya Julai 30 inawasili Dar Es Salaam πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Nawaona mabingwa wapya wa Africa, nyenendo zote za kujiandaa kama bingwa wanazifuata na kuzizingatia HALA YOUNG AFRICANS Y NADA MAS πŸ”°
 
Fred

Mpiga Chabo
Jun 3, 2024
8
0
0
Ya mechi za yanga pre season zinafatiliwa kama ulaya ukiwa mkubwa hata maji ukinywa watafatilia unakunywa je
 
Due_wound

Mpiga Chabo
Jun 1, 2024
7
0
0
Pre Season ya Young Africans πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

➑️ Leo Julai 18 inaenda Afrika Kusini πŸ‡ΏπŸ‡¦
➑️ Julai 20 inacheza πŸ†š Augsburg πŸ‡©πŸ‡ͺ
➑️ Julai 24 inacheza πŸ†š Ts Galaxy πŸ‡ΏπŸ‡¦ (Closed Door)
➑️ Julai 28 inacheza πŸ†š Kaizer Chiefs πŸ‡ΏπŸ‡¦
➑️ Alfajiri ya Julai 30 inawasili Dar Es Salaam πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Yanga wanataka kujifanya tu apooo πŸ˜‚πŸ˜‚